Monday, 1 June 2015

Re: [wanabidii] LOWASSA UACHE UONGO

Jamani si mna watu wenu waliotangaza nia basi zitangazen hoja zao kama mmeona lowas hafai tuachien cc

joskiimbila@gmail.com wrote:

>On Monday, June 1, 2015 at 11:16:15 AM UTC+3, Reuben Mwandumbya wrote:
>> Kiimbila;
>> Hapa watu wameajiriwa, japo wanajua fika wanayofanya hayataweza kuwa kweli but tufanyaje na njaa zinauma?
>> Lazima tuendelee kuwaambia maneno mazuri kwamba 'Mzee upo fit kama Nyau' 'Watz wote wanakutaka uwakomboe' n.k. ili choo ziendelee kunuka huko majumbani.
>> Lakini ukweli wanaujua kwamba wanachumia matumbo, ni kheri JK aendelee kama tumekosa figure inayoweza kupokea kijiti lakini sio kukabizi hili genge la wahuni.
>>
>>  
>> Reuben
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> On Sunday, May 31, 2015 12:26 PM, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:
>>
>>
>>
>>
>> Inashangaza kweli jamani! Mgombea mtarajiwa wa kiti cha Rais anasoma hotuba yake? Huwezi ukajieleza kwa kutumia kichwa chako? unasoma hotuba, jee ukienda nchi za nje na kupigwa maswali ya papo kwa papo? unaongea, macho hayaonekani! waandishi wa habari-umma wote huo ni waandishi? Nauli ya kwenda, kurudi, posho ya malazi na kula umetoa-huko Ikulu kutakuwa na mambo!! Waachieni vijana jamani wazee muwe washauri wao. Baba wa Taifa alisema-akiwapa hongo-kuleni lakini kura ni yasiri. Tayarisha ambulance Mollel!!
>>
>> --------------------------------------------
>> On Sun, 31/5/15, 'joseph kiimbila' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:
>>
>> Subject: Re: [wanabidii] LOWASSA UACHE UONGO
>> To: wana...@googlegroups.
>> Cc: mike...@yahoo.co.uk
>> Date: Sunday, 31 May, 2015, 20:26
>>
>> Tatizo
>> kambi lowassa mme lost mbaya . hata kwa dodoki la chuma
>> hasafishiki huyo . you are wasting your time . Mtu
>> alishindwa hata kushika mic ataweza kufanya kazi gani
>> ?Kuweni makini na mnayemnadi . Anapakwa mafuta kwa
>> mgongo wa chupa . wait you will see . Jiandaeni kupata
>> vitanda hospitalini kwa pressure . Penye kosa mkubali
>> kukosolewa . 
>>
>> On Sunday,
>> May 31, 2015 at 12:05:53 PM UTC+3, Mike Zunzu
>> wrote:Natamani dada huyu
>> angelipewa nafasiu ya juu kwenye tume ya
>> uchaguzi. 
>>
>>
>>       On Sunday, 31 May
>> 2015, 0:00, 'lesian mollel' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com>
>> wrote:
>>    
>>
>>   wee katabazi
>> mwandishi gani bana usiejua hata kiswahili, dada ni hadhara
>> si adhara, nshaandika sana magazeti ya kimombo na mimi ni
>> mmasai lakini kiswahili nakijua na siwez andika hv, adhara
>> halafu unajiita makini, unapendaga kujisifia na kuwaponda
>> watu tuuuuu as if ur perfect while ur fake in every work u
>> put the publicLowasa si mjinga wa
>> kijibu ujinga, anatangaza nia na nia maana yake atasimamia
>> nini hajaja kujisafisha na watanzania wamesema  liwalo na
>> liwe hata kama mtakomaa na richmond wao wanamtaka hvo
>> alivyooooo, polen na agenda yenu chafuu mtashindwa hadi
>> mkomeHes smart ndo maana si mtu wa
>> kujisifu ni mtu wa matendo hawez kuanza kuzungumzia past
>> while anatakiwa kuwaambia watanzania kua atawaondoaje hapa
>> alipo ndio maana ya safar ya matumaini elimu, elimu,
>> elimu....leo kakabiziwa mzigo na mzee nyerer aliebakia mwl 
>> wa itikadi, mwl wa kivukoni elimu ya siasa mel kingunge
>> ngombale mwiru kasema mzigo huu akabidhiwe mnyamwezi
>> lowasaaaaaaaaaa. lowasa oye...who else...mti weny matunda
>> matamu ndio unaorushiwa mijiweHua 
>> nashangaaa kina Gamba, kina Makamba jr na Kigwa vijana
>> wq3nzangu badala ya kunadi sera zao wamekua wanajibu na
>> kumponda mgombea mwenzao sawa na wazee kina Membe kina
>> Mwigulu, mkibisha ,,,,angalieni kuanzia keshosasa najiuliza huo si uogaaa, au kutojitambua,
>> nadi sera zako na si kuanza kumponda mgombea mwenzako na je
>> akija shinda itakaujeeeeeeee, sawa na huyu mdada mpondaji
>> anaejiita kukaa kwenye media 15 yrs while bado anaandika
>> rubbbishmollelKambi Lowasa
>>
>>
>>      
>> From:
>> 'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com>
>>   To: WANABIDII <wana...@googlegroups.com>
>>
>>   Sent: Saturday, May 30,
>> 2015 12:06 PM
>>   Subject: [wanabidii]
>> LOWASSA UACHE UONGO
>>    
>> LOWASSA UACHE UONGO
>>
>> Na Happiness Katabazi
>>
>> NIMEMTAZAMA kupitia Televisheni ya ITV ,Mzee
>> Edward Lowassa na kuisoma neno kwa neno hotuba yake  ya
>> kutangaza nia leo katika Uwanja wa Sheikh Abeid Mkoani
>> Arusha ya kugombea urais wa serikali ya Jamhuri ya Muungano
>> wa Tanzania nimebaini uongo wazi katika aya ya kwanza.
>>
>> Haya hiyo katika hotuba hiyo
>> inasomeka hivi;    HOTUBA YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA 
>> KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KWA AJILI YA KUTANGAZA
>> NIA YA KUOMBA KUTEULIWA KUWA MGOMBEA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
>> (CCM) KWA NAFASI YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA
>> TANZANIA).
>>
>> Ukisoma kichwa
>> hicho cha habari cha hotuba yake kimesema ( Hotuba ya
>> Mheshimiwa Edward Lowassa  kwenye mkutano wake na Waandishi
>> wa Habari......).
>>
>> Sehemu ya
>> hiyo aya Lowassa amedanganya  umma kuwa eti leo amezungumza
>> na waandishi wa habari wakati
>>   akitangaza nia.
>>
>> Ukweli ni
>> kwamba Lowassa leo ametangaza nia mbele ya wafuasi wake
>> katika mkutano wa adhara ambao wanamuziki wa muziki wa
>> kizazi kipya,wasanii wa Kimasai wakiwa na mishale na silaha
>> za jadi na mwanamuziki wa muziki wa Taarabu Hadija Kopa
>> walitumbuiza.
>>
>> Binafsi ni
>> mwandishi wa habari kwa zaidi ya miaka 15 sasa,nimeisha
>> shiriki  mikutano mbalimbali ya waandishi wa habari na
>> vyanzo vya habari(source)  yaani (Press Conference).
>>
>> Kitaaluma mkutano wa waandishi
>> wa habari uhusisha waandishi wa habari na wale
>> wanamsindikiza mtoa habari na mkutano na waandishi wa habari
>>   katika eneo la mkutano.
>>
>> Mkutano na waandishi wa habari haunaga
>> mbwembwe ,kualika makundi ya watu mbalimbali,
>> wasanii,vibweka kama tulivyovishuhudia leo katika mkutano
>> huo ,wafuasi wako kupaza sauti kusema Lowassa Rais,wanasiasa
>> kupanda majukwaani  kumnadi mtoa habari(Lowassa), kama
>> ulivyoshuhudia leo katika mkutano ile jinsi Kingunge
>>   Ngombale Mwilu, Kangi Lugola, Mtumishi wa Mungu Josephat
>> Gwajima, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha,Onesmo Ole Nangolo
>> walivyokuwa wakimpigia debe Lowassa.
>>
>> Kimsingi tukubaliane Lowassa kupitia aya hiyo
>> ya hotuba yako ya leo amedanganya umma na amejidanganya yeye
>> mwenyewe na kujionyesha asivyo makini katika baadhi ya
>> mambo.
>>
>> Hata kama hiyo
>> hotuba uliandaliwa na waandishi wako wa hotuba
>> unaowaamini,kama kweli wewe ni kiongozi makini na unayetaka
>> kuwa rais wa nchi hii kwa kila njia, ulipaswa uisome kwanza
>> hotuba hiyo neno  na  kwa dosari hii imedhirisha na wewe
>> siyo makini.
>>
>> Hadi ulikubali
>> kuisoma hiyo hotuba mbele ya adhara ina maana ulikubaliana
>> na mambo yote yaliyoandikwa kwenye hiyo hotuba ambapo baada
>> ya wewe kuisoma jukwaani leo sisi wafuatiliaji wa mambo
>> ndani ya muda mchache tumeibaini ina kasoro hiyo ya wazi
>> kabisa tena kwenye kichwa cha habari.
>>
>> Sasa hao waandishi wa hotuba yako utawachukulia
>> maamuzi
>>   magumu? Maana umekuwa ukijinasibu wewe ni kiongozi
>> unayeweza kuchukua maamuzi magumu kwa haraka.
>>
>> Nakushauri anza kutoa maamuzi
>> magumu kwa hao waandishi wa hotuba yako hii ambayo ni hotuba
>> ya kihistoria kwani hotuba hii ni ishara ya wewe kuanza
>> safari ya matumaini kwenda Ikulu lakini tayari nimeibaini
>> ina dosari hiyo.
>>
>> Nyie
>> waandishi wa hotuba ya Mzee Lowassa kuweni makini na kazi
>> yenu, au kama mmetumwa kumuandikia ujinga huo mzee Lowassa
>> katika hotuba zake ili atolewe kasoro kuwa sio makini,mseme
>> maana waandishi wengi hivi sasa hamuaminiki mmekuwa kama
>> wanawake Malaya wanaouza mihili yao  ambao wana mabwana
>> wengi ili mradi wapate fedha upitia mihili yao.
>>
>> Na hili linawezekana maana
>> aingii akili mwandishi wa habari amuandalie hotuba mtu
>> anayemuunga mkono afanye kosa la kiufundi kama hili tena
>> katika kichwa cha habari.
>>
>> Niitimishe kwa kumtaka Lowassa aache uongo.Ule
>> ni mkutano wa adhara aliohutubia leo wakati
>>   akitangaza nia  na siyo mkutano wake na waandishi wa habari
>> kama alivyodai katika hotuba yake. Hongera sana Mzee Lowassa
>> kwa mkutano wako huo uliofurika watu wengi.Ila ukumbuke
>> msemo usemao ' Kuzikwa  na watu wengi sio kwenda
>> Mbinguni.
>>
>> Kila la kheri
>> katika hiyo safari yako
>> Mungu ibariki
>> Tanzania
>>
>> Chanzo: www.katabazihappy.blogspot.com
>> 0716 774494
>> Mei 30 mwaka
>> 2015..
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>
>>  
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+...@
>> googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>  
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>> for any legal consequences of his or her postings, and hence
>> statements and facts must be presented responsibly. Your
>> continued membership signifies that you agree to this
>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are subscribed to the
>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>> from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/
>> optout.
>>
>>
>>    
>>
>>
>> --
>>
>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>
>>  
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+...@
>> googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>  
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>> for any legal consequences of his or her postings, and hence
>> statements and facts must be presented responsibly. Your
>> continued membership signifies that you agree to this
>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are subscribed to the
>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>> from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/
>> optout.
>>
>>
>>    
>>
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>
>>  
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+unsub...@googlegroups.com  Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>>  
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>> for any legal consequences of his or her postings, and hence
>> statements and facts must be presented responsibly. Your
>> continued membership signifies that you agree to this
>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are subscribed to the
>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>> from it, send an email to wanabidii+unsub...@googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>> --
>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsub...@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsub...@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment