Tuesday, 1 April 2014

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Sheikh. Abubakar Shariff (aka Makaburi), Abuu Rogo wametangulia!

Huyo Sheikh Makaburi hatopawa wanawali 72.

Ameeneza sana chuki kati ya Waislamu na Wakristo huko Mombasa.

Hata ule msiba wa Westgate huko Nairobi mwaka jana ameushangilia tena hadharani kwenye TV.

Wanawali 72 hapati.  Pengine ta mwanamke yeyote asipawe.

Courage



2014-04-01 16:20 GMT-04:00 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>:

Mhubiri aliyedaiwa kueneza itikadi kali za kiisilamu nchini Kenya Abubakar Shariff anayejulikana kwa jina lengine kama Makaburi, ameuawa.

Duru zinasema kuwa Makaburi aliuawa katika mtaa wa Shanzu mjini Mombasa ambako alikuwa anaishi.

Polisi wamekuwa wakimtuhumu Makaburi kwa kueneza itikadi kali za kiisilamu miongoni mwa vijana wa kiisilamu mjini Mombasa Pwani ya Kenya na kuchochea vitendo vya kigaidi.

Pia amekuwa akituhumiwa kwa kusajili vijana kuenda kupigania kundi la wanamgambo la Al Shabaab nchini Somalia, madai ambayo Makaburi amekuwa akiyakanusha.

Duru zinasema kuwa vijana wameanza kuzua vurugu katika msikiti wa Majengo, Mombasa kufuatia taarifa za mauaji ya mhubiri huyo mwenye utata.

Taarifa za kifo cha Makaburi zilitolewa katika msikiti Musa ambao umekuwa kitovu cha vurugu kati ya maafisa wa usalama na vijana wanaodaiwa kuhubiri na kufuata ikitakadi kali za kiisilamu.

Haijulikani ni nani aliyemuua Makaburi

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAEZBzkAJvcXhBDvmmyCtEfwVT%2Bv7USe5Mq0sne3iadQc%3Dpn4oQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment