Sunday, 27 April 2014

Re: [wanabidii] Kutawala mazuzu raha sana

Selemani
Hata kama unakana kuwa hujasema kuwa Watanzania ni mazuzu ila Sematikia ya waraka wako iko wazi kabisa kuwa mazuzu ni watanzania,unashabihisha mfumo mzima wa kutafuta katiba mpya mpaka hapa tulipofika.
Kama wewe ni Mgeni unayo haki ya kusema ivo maana utakuwa huna soni wala heshima kwa Watanzania. Ila kama ni Mtanzania bila shaka umeteleza kwani wewe pia ni Zuzu,tena yawekana ukawa kiranja wao hao Mazuzu. Pia kauli yako ya kuwaita Watanzania mazuzu ni ukosefu wa busara kwani nijuavo mimi siasa ni game of advantage. Kila kikundi kinaangalia mwanya wa kupita uku kikizingatia maslahi yake kwa mwavuli wa kuwatetea wanyonge. Mimi Mtanzania nasema kwa sauti kubwa kuwa sio zuzu najitambuwa,na ninajua kwa kina nini ninachofanya.

Rgrds
Magora

On Apr 27, 2014 8:49 AM, "Selemani Swalehe" <semkiwas@gmail.com> wrote:

Nimesema kutawala mazuzu ni raha na rahisi sana maana ukitaka jambo lako lifanyike unavyotaka wewe ni simple unawambia tuunde tume ya kuamua juu ya jambo fulani  halafu kazi ya kuchagua wajumbe wa tume inakuwa ni yako wewe mwenyewe. Katika kuchagua kama wanatakiwa wajumbe kumi basi unahakikisha unaweka wajumbe saba wa upande wako unaoamini hawawezi kukuangusha ikifika wakati wa kufanya maamuzi unasema tupige kura tufuate demokrasia mazuzu wanakubali na matokeo utake usitake  lazima yatakuwa saba dhidi ya watatu kisha unajigamba umeshinda kwenye boksi la kura kwa hiyo  walio wengi wameamua na mazuzu yanakubali kuwa demokrasia imetumika we unapeta tu kiulaini na kufanya kila kitu kiende unavyotaka,hahahaha mazuzu bwana.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment