Wednesday 29 May 2013

Re: [wanabidii] MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF

Hizi bei za nyumba atanunua nani? Bei yake siyo rafiki kwa wananchi wengi. Ni kama zimetengwa kwa watu wachache, tena matajiri.
Nyumba ina vyumba viwili inauzwa kwa mil 59?
Kazi kubwa bado tunayo kuuondoa umasikini wa watu wetu.

On May 29, 2013 11:51 AM, "Abdalah Hamis" <hamisznz@gmail.com> wrote:
MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA (PSPF)
 
MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF 

Mfuko unapenda kuwataarifu wananchi wote kwamba inauza nyumba zilizojengwa na Mfuko katika mikoa ya Dar es Salaam- Ilala (Buyuni), Morogoro (Lukobe), Tabora (Usule), Mtwara (Mang'amba) na Shinyanga (Ibadakuli). 

Bei ya nyumba ni kati ya Tsh 59,000,000.00 hadi Tsh 80,000,000.00 (Bila ya VAT) kulingana na ukubwa wa nyumba na Mkoa nyumba ilipo.   Ukubwa wa nyumba ni kuanzia vyumba viwili hadi vinne. Fomu zinapatikana kwa gharama ya shilingi elfu tano (TShs. 5,000/=) kwenye ofisi za Mfuko zilizopo mikoa yote nchini.

Waombaji wanaohitaji kuona na kukagua nyumba wawasiliane na Mfuko kupitia namba 2120912/52 au 2127376. 
"PSPF - Tulizo la Wastaafu"
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:

Mkurugenzi Mkuu,
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF),
Golden Jubilee Towers,
Front Tower – Ghorofa ya 6-13,
Mtaa wa Ohio/Kibo,
S. L. P. 4843,
DAR ES SALAAM.

Barua Pepe: pspf@pspf-tz.org          

Tovuti: www.pspf-tz.org   

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment