Friday 31 May 2013

Re: [wanabidii] Maji safi na salama ni tatizo Nzega. Kigwagalla upo?

Denis, angalau basi wahusika wangetueleza kuna tatizo gani lakini tunakosa maji kwa wiki nzima wakati mabwawa yote yanayotuzunguka yamejaa maji tunashindwa kuelewa tufanye subira juu ya nini?
Suleiman Swalehe

2013/5/31 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Mwenyekiti,
 
Vuta subira, mambo mazuri hayahitaji haraka!!!! hahahahahahaaaaaaaaaaaaaa

2013/5/31 Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>
Waungwana nashindwa kuelewa kwa kipindi hiki ambapo mabwawa yote mawili Uchama na Kilimi yanayotumia kwa kupata maji safi na salama hapa mjini Nzega yamejaa yako full masinonda kutokana na mvua kubwa zilizonyesha msimu huu. Cha ajabu maji hayajatoka kwenye mabomba kwa muda wa wiki nzima  hadi tunanunua maji ya visima kutoka Kashishi na  Ifikeliambayo hayana uhakika kwa usafi na usalama wake . Hakuna taarifa yoyote tunayopewa na idara ya maji  hapa Nzega kuhusu kadhia hii jamani kulikoni? Hamisi Kigwangalla upo? Wananchi wako tuna shida ya maji na mbunge wetu upo? Nilisikia juzi profesa maji marefu mbunge mwenzako wa Korogwe amechangia milioni 30 kutoka kwenye mfuko wake binafsi kwa maendeleo ya wananchi wake vipi kuhusu shida hii ya maji penye udhia penyeza rupia matatizo ya kokosa maji yaishe. Maana kwa kusema kweli shida sio  maji mabwawa yote  yamejaa sana labda tatizo ni pampu au matatizo ya kiutendaji au ufisadi unaitafuna idara ya maji. Kama kuna mhusika hapa jukwaani basi angalau atueleze ni nini shida? Na shida hiyo itaisha  lini?
Sueliman Swalehe

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

0 comments:

Post a Comment