Friday 31 May 2013

[wanabidii] Bidhaa muhimu ya Divai ya Altare yaadimika Venezuela

Venezuela imekuwa ikikumbwa na  uhaba mkubwa wa vitu muhimu vya matumizi ya binadamu na hii ikitajwa kuwa ni kutokana na sera mbovu za chama tawala. Wiki iliyopita tulisikia kuwa Venezuela ilikumbwa na upungufu mkubwa wa toilet paper (karatasi za chooni). Sasa kanisa katoliki nchini Venezuela ambapo asilimia 90 ya wananchi wake ni waumini wa Kikatoliki limetangaza kuishiwa na divai ya altareni. Hii ni divai maalum inayotumika katika ibada za misa.
Uongozi wa kanisa katoliki nchini Venezuela umetahadharishwa kutumia kwa uangalifu mgao mdogo wanaoupata kwa matumizi hayo ya divai..............zaidi endelea hapa
http://goldentz.blogspot.com/2013/05/hawana-divai-bidhaa-muhinu-ya-divai-ya.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment