Thursday 30 May 2013

Re: [wanabidii] Waarabu wa Dubai na Wachina Kujenga Kigamboni! Wananchi hawajaambiwa!

Fay

Wakati mwingine unapaswa kujishirikisha siyo mpaka ushirikishweee. Ni ushauri tu ila si kwamba nafurahia suala zima la watu kutengwa kwenye kuamua mambo yanayowahusu

2013/5/30 Fay <fay.mashallah@gmail.com>
Mimi ni mkazi wa Kigamboni. Sijawahi kushirikishwa! Si mimi tu. Majirani pia hawajashirikishwa.
Mbunge anasema kweli.

On 30 Mei 2013, at 13:15, Faustine Ndugulile <fndugulile@gmail.com> wrote:

> Mimi ni memba wa Jukwaa kwa muda mrefu sana. Mara nyingi nimekuwa msomaji kuliko kuandika huku.
> Nilitaka kutoa ushauri mdogo kuhusu suala la Mradi wa Kigamboni.
> Ili kuwa na mjadala mzuri wenye tija, ni vyema wadau mkafanya utafiti mdogo kuhusu mradi huu.
> Tembeleeni Kigamboni na kuongea na wananchi au kama mna ndugu wanaoishi eneo hili. Waulizeni kuhusu uelewa wao kuhusu mradi, ushirikishwaji wao na ufahamu wao kuhusu haki, stahili na hatma yao.
> Mkifanya hivi mtapata ufahamu wa nini wananchi wanacholalamikia.
> Wasalamu
> Dkt Faustine Ndugulile
> Mbunge-Kigamboni
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment