Thursday 30 May 2013

Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Hilo ndilo neno Josephat

--- On Wed, 5/22/13, Josephat Mwanzi <josephatmwanzi@yahoo.com> wrote:

From: Josephat Mwanzi <josephatmwanzi@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, May 22, 2013, 4:09 AM

Yona, Amani, Upendo na Mshikamano hautaweza kupatikana Tanzania kama ilivyokuwa zamani enzi za Nyerere...UNLESS....(zingatia hilo neno) HAKI, USAWA KATIKA KUGAWA FURSA NA RASILIMALI VIFANYIKE. LA MWISHO NI VIONGOZI KUONESHA KWA VITENDO UZALENDO KWA KUEPUKA RUSHWA, UPENDELEO, 'UNDUGUNAIZESHEN' na kufumbia mambo muhimu ambayo yanawakera wananchi. Lazima tupate viongozi wanaokemea na kutuongoza kwa mfano na kwa uwazi siyo kupaka matope na kutoa kauli kama eti 'serikali haitawapigia magoti' wakati wananchi wameamua kupigania haki zao baada ya kuona waliokabidhiwa kuzilinda kwa manufaa ya wote wanazimung'unya kama muchwa na zingine kuwagawia 'wajomba'.

From: gm <gm26may@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, May 22, 2013 1:47 PM
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Na kwa mamlaka gani na aliyopewa na nan?

gm

From: manonga2003@yahoo.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 22 May 2013 10:36:51 +0000
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Hili Tamko limetolewa na nani?
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 22 May 2013 13:34:37 +0300
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania haiwezi kuwapigia magoti wahalifu .

Kama wao sio wahalifu kweli kwanini madai yao hayafuati taratibu za kisheria kama mahakama au njia nyingine za mazungumzo badala yake wameamua kufanya vurugu zilizochangia katika uharibifu wa mali za watu haswa ndugu zao wa huko huko mtwara , vifo , uvunjifu wa amani ambao unachangia kukimbiza wawekezaji na kujenga utengano wa kitaifa ?

Serikali ya Tanzania haitakubali kuyumbishwa na wahalifu hawa , watachukuliwa hatua za kisheria kama wahalifu wengine wanavyochukuliwa hatua .

Kwa Watanzania wa kawaida kama mimi na wewe tuendee na shuguli zetu za kujenga nchi yetu popote tulipo , tuendeleze mshikamano , amani , upendo na utulivu bila kujali tofauti zetu nyingine .

Tanzania ni moja itaendelea kuwa moja wahalifu hawana nafasi .

On Wed, May 22, 2013 at 12:07 PM, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI KUENDELEA NA MPANGO WAKE WA KUSAFIRISHA GESI KWA NJIA YA BOMBA KWENDA DAR ES SALAAM .

HIVI SASA WANANCHI WANANCHOMA MOTO MATAIRI HUKU JESHI LA POLISI LIKIENDELEA KUDHIBITI HALI HIYO
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

0 comments:

Post a Comment