Thursday 30 May 2013

Re: [wanabidii] MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF

Salaam watanzania wenzangu.
jamani hii mifuko iwahurumie wa Tanzania kwa nyumba hizo.
Kama mtu hajawahi kuziona aende akazione kwanza asiangalie kwa nje nakudhani niza logo hizo nyumba.

Ukweli bei  ya 59mil au 80mil haifanani. wapeni hizo fedha watumishi waliostaafu au wanaoendelea na kazi  wakajenge zao huku uswahilini. Mfano. Chanika unapata nusu au robo ekari kwa 1mil au hata 2mil. 58  au 57mil zinatumika kujenga nyumba.

Ndugu zangu ni afadhari ujenge kwa mradi wa MOLADI unapata vyumba vitatu, sebule, jiko. wc kwa 37 hadi 42Mil utabakiwa na 22 au 17 za kuanzishia hata mradi wa familia.

Mawazo yangu zitanunuliwa na hao wanaofilisi uchumi wa nchi

--- On Wed, 29/5/13, john mushi <mushijohn@yahoo.com> wrote:

From: john mushi <mushijohn@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 29 May, 2013, 15:24

Mimi ninaamini mifuko hii inahamasisha ufisadi kwa sababu ukitaka kuinunua nyumba kwa bei hiyo ni lazima ucheze mchezo fulani wa kifisadi, otherwise mtu wa kawaida mwenye kipato halali hawezi kununua vyumba viwili kwa fedha hizo.Hata ukisema utakopa penshen unaambiwa utakatwa riba ya 9% tena.hivyo ndivyo wanunuzi watakavyoelekea kwenye ufisadi ili wazinunue!

From: Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, May 29, 2013 1:35 PM
Subject: Re: [wanabidii] MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF

Hii mifuko ya jamii sera yao ni moja chini ya SSRA. Hapa kwetu walikuja watu wa NSSF na sera yao hiyo hiyo ya kuuza nyumba kwa bei kama hizo tukawaambia hatuna shida na nyumba zao tunataka mafao yetu tujenge wenyewe nyumba zetu. Milioni 20 unajemga nyumba kubwa zaidi na nzuri kuliko hizo zao za mamilioni ya shilingi, halafu ni ya vyumba viwili. Wanafikiri milioni 59 karibu na 60 ni mchezo?Mtanzania gani wa kawaida ataweza?Wawape waliowapangia kuwapa maana naona hapo kuna walengwa.
Sueliman Swalehe

2013/5/29 john mushi <mushijohn@yahoo.com>
Si wapangishe tuu? au zinawalenga tena wale wenye majumba mijini?

From: amon mkoga <dramontz2002@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, May 29, 2013 12:16 PM

Subject: Re: [wanabidii] MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF

Bei kubwa mno nimenunua nyumba Tabora kwa M.14 eneo la Cheyo ndo Masaki ya Tabora,sasa hizo zipo Usule ni pembeni ya mji hakuna hata huduma haya mwenye kuhitaji.

AMON MKOGA
P.O BOX 78566
MOBILE 0755 638 004/0784 772628/0655 638 004
EMAIL dramontz2002@yahoo.com
DAR ES SALAAM
TANZANIA

--- On Wed, 5/29/13, Simon Mkina <smkina@gmail.com> wrote:

From: Simon Mkina <smkina@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, May 29, 2013, 12:06 PM

Hizi bei za nyumba atanunua nani? Bei yake siyo rafiki kwa wananchi wengi. Ni kama zimetengwa kwa watu wachache, tena matajiri.
Nyumba ina vyumba viwili inauzwa kwa mil 59?
Kazi kubwa bado tunayo kuuondoa umasikini wa watu wetu.
On May 29, 2013 11:51 AM, "Abdalah Hamis" <hamisznz@gmail.com> wrote:
MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA (PSPF)
 
MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF 

Mfuko unapenda kuwataarifu wananchi wote kwamba inauza nyumba zilizojengwa na Mfuko katika mikoa ya Dar es Salaam- Ilala (Buyuni), Morogoro (Lukobe), Tabora (Usule), Mtwara (Mang'amba) na Shinyanga (Ibadakuli). 

Bei ya nyumba ni kati ya Tsh 59,000,000.00 hadi Tsh 80,000,000.00 (Bila ya VAT) kulingana na ukubwa wa nyumba na Mkoa nyumba ilipo.   Ukubwa wa nyumba ni kuanzia vyumba viwili hadi vinne. Fomu zinapatikana kwa gharama ya shilingi elfu tano (TShs. 5,000/=) kwenye ofisi za Mfuko zilizopo mikoa yote nchini.

Waombaji wanaohitaji kuona na kukagua nyumba wawasiliane na Mfuko kupitia namba 2120912/52 au 2127376. 
"PSPF - Tulizo la Wastaafu"
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:

Mkurugenzi Mkuu,
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF),
Golden Jubilee Towers,
Front Tower – Ghorofa ya 6-13,
Mtaa wa Ohio/Kibo,
S. L. P. 4843,
DAR ES SALAAM.

Barua Pepe: pspf@pspf-tz.org          

Tovuti: www.pspf-tz.org   

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment