Thursday 30 May 2013

[wanabidii] Mtoto aokolewa kwenye bomba la choo huko China

Beijing China
 Wapangaji katika nyumba moja huko Mashariki mwa China walishutuliwa na mlio kama wa sungura au paka na walipoangalia ni nini waliona mguu wa mtoto mchanga ukionekana katika sehemu ya bomba la maji ya chooni. Waokoaji walijaribu kwanza kumvuta mtoto kabla hawajakata kipande cha bomba ili kumwokoa yule mtoto. Baada ya kushindwa kuchomoa kwenye lile bomba hata baada ya kulikata ilibidi wapeleke kipande cha bomba ambamo bado mtoto alikuwa amenasa, katika hospitali ya karibu iitwayo Jinhua................
http://goldentz.blogspot.com/2013/05/mtoto-aololewa-kwenye-momba-la-choo.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment