Thursday 30 May 2013

[wanabidii] MBAGALA KINGUGI SIYO SEHEMU YA KIGAMBONI?

Mh. Mbunge wa Kigamboni,
 
Ninafurahishwa na namna unavyowatetea wananchi wa Kigamboni kuhusu hatma na ushiriki wao katika mradi wa Mji Mpya wa Kigamboni. Mimi naishi Mbagala Kingugi. Napenda kukuuliza kama Kingugi siyo sehemu ya Jimbo la Kigamboni? Njoo uone barabara za Kingugi zinavyofanana na mbunge wetu upo?????!!!!!!! Wasalaam.
 
Peter Lwegasira

0 comments:

Post a Comment