Thursday 30 May 2013

[wanabidii] All of you

Friends and enemies....I know you are all here.....
Naomba kwa heshima na taadhima nirejee tena kusema ,ukurasa wangu huu wa fb sio jukwaa la kuombea kura , nasikitika kuona kuna watu wanadhani Kila ninachopost hapa kinauhusiano na uchaguzi ujao. Kuna msemo unasema MWANASIASA ANAFIKIRIA UCHAGUZI UJAO,LAKINI KIONGOZI ANAFIKIRIA KIZAZI KIJACHO. Mimi jukumu langu kubwa sio kufikiria uchaguzi ujao bali maendeleo ya watu na kizazi kijacho, justice is my priority,the church is my platform,and politics is the means, if that is me then means can change depending the war you are fighting ....Ndio maana kuna watu wanawaza kukomboa majimbo ,Mimi nawaza kuchallange akili za watu ili tujikomboe kifkra,maisha yetu ya baadaye yanategemeana na namana tunavyofikiri na maamzi tunayotoa Leo. Kama umekuwa ukifuatilia post nyingi hapo ni kuchallange our thinking capacity. Kwa kifupi this wall of mine is not only a political platform . I can use any language I want as long as it will help me send a message to a particular group.
Katika jamii yetu tuna ...wasomi,...wasio soma.....matajiri......masikini.......wenyedini....wasio na dini....watu wanao jua lugha mbalimbali na wasiojua. Hivyo basi ukiona nilichoandika huelewi kuna mwingine anaelewa ,,kwani lengo langu nikuwasiliana na watu wa kada mabalimabali .kunawakati tutaandika siasa,dini,Kiswahili ,KINGEREZA ,kihehe,kiwanji,au kinyakyusa, ukiona huelewi potelezea...kwa kusema hivi simaanishi sitaki kukosolewa Kama unahoja kosoa kile nilichoandika sio lugha niliyotumia. Please allow me to be me..NAOMBA TUZINGATIE VIGEZO NA MASHARITI....tumefika Windhoek Namibia jioni hii kwa ajili ya South-South Learning Event of Maximizing Development Impact of Tourism.
The city is very very clean!!!

Sent from my iPad
Rev.Peter Msigwa - MP Iringa - urban Tanzania
Shadow Minster of natural resources Tourism & Environments
Cell+255754360996, home +255262720015, office +255262701958
aabctz@yahoo.com
mbungeiringamjini@gmail.com
mbungeiringamjini.blogspot.com
Po Box 2042 Iringa Tanzania .
Problems can not be solved by the same level of thinking that created them By Albert Einstein

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment