Wednesday 29 May 2013

[wanabidii] YANAYONICHUKIZA KATIKA NCHI HII

1. Nchi moja kuwa na aina mbili za pesa zinazofanya kazi sambamba wakati nchi ina
chombo cha kuithibiti serikali ambacho kinaigharimu nchi pesa nyingi

2. Sera ya ubinafsishaji maeneo ya kilimo kwa watu /makampuni ya  wenye
pesa na kuwanyang'anya walalahoi ambao walikuwa wakiyatumia kuganga njaa
zao, wakati waheshimiwa wetu wakiwa ni mashahidi wakuu wa kuona maeneo
hayo yakibaki bila hata kutumika. hao wawekezaji wanayataka hayo maeneo kwa
shughuli ipi muhimu?

3.Waheshimiwa kuleta mizaha kwenye mambo muhimu wakati akina sie tunaumia
na wao mwisho wa siku wanaondoka na kitita cha mapesa.

0 comments:

Post a Comment