Wednesday 29 May 2013

Re: [wanabidii] MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF

Ninavyofahamu hizi nyumba ni bei rahisi sana, unless zina ubora usiokidhi viwango ndo waziuze chini ya hapo. Nyumba hizo zinazojengwa kwa millioni 20 sidhani kama zilitumia wakandarasi wowote. Huo ndiyo ukweli. Halafu sehemu zingine millioni kumi tayari ni kiwanja tu. Nadhani ni vizuri kwa wenye uwezo wa kununua wanunue, wasioweza wachukue mikopo hata wafanyakazi wa serikali wanapewa mikopo wanunue.

2013/5/29 alistides ndibalema <alistidesn@yahoo.com>
Kwanini ukimbilie kulinganisha kwa dola, tangu lini serikali ikalipa kwa dola? Huu ni wizi wa waziwazi kwa watanzania.

From: anna nyanga <luguanna@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, May 29, 2013 2:10 PM

Subject: Re: [wanabidii] MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF

Linganisha kwa dola ndio utapata mlinganisho mzuri hahaha

From: Simon Mkina <smkina@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, May 29, 2013 11:06 AM
Subject: Re: [wanabidii] MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF

Hizi bei za nyumba atanunua nani? Bei yake siyo rafiki kwa wananchi wengi. Ni kama zimetengwa kwa watu wachache, tena matajiri.
Nyumba ina vyumba viwili inauzwa kwa mil 59?
Kazi kubwa bado tunayo kuuondoa umasikini wa watu wetu.
On May 29, 2013 11:51 AM, "Abdalah Hamis" <hamisznz@gmail.com> wrote:
MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA (PSPF)
 
MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF 

Mfuko unapenda kuwataarifu wananchi wote kwamba inauza nyumba zilizojengwa na Mfuko katika mikoa ya Dar es Salaam- Ilala (Buyuni), Morogoro (Lukobe), Tabora (Usule), Mtwara (Mang'amba) na Shinyanga (Ibadakuli). 

Bei ya nyumba ni kati ya Tsh 59,000,000.00 hadi Tsh 80,000,000.00 (Bila ya VAT) kulingana na ukubwa wa nyumba na Mkoa nyumba ilipo.   Ukubwa wa nyumba ni kuanzia vyumba viwili hadi vinne. Fomu zinapatikana kwa gharama ya shilingi elfu tano (TShs. 5,000/=) kwenye ofisi za Mfuko zilizopo mikoa yote nchini.

Waombaji wanaohitaji kuona na kukagua nyumba wawasiliane na Mfuko kupitia namba 2120912/52 au 2127376. 
"PSPF - Tulizo la Wastaafu"
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:

Mkurugenzi Mkuu,
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF),
Golden Jubilee Towers,
Front Tower – Ghorofa ya 6-13,
Mtaa wa Ohio/Kibo,
S. L. P. 4843,
DAR ES SALAAM.

Barua Pepe: pspf@pspf-tz.org          

Tovuti: http://www.pspf-tz.org/

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment