Friday 4 January 2013

[wanabidii] JAJI WARIOBA KUKUTANA NA WANAHABARI KESHO, JUMAMOSI, JANUARI 5, 2013, OFISI ZA TUME, JIJINI DAR ES SALAAM KUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI

Wakuu,
Kwa taarifa - Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Jospeh Warioba, ataongea na Wanahabari kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Tume kesho, Jumamosi, tarehe 5 Januari, 2013, kuanzia saa 4:00 asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano uliopo 'Ground Floor' katika jengo la Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Kwa rejea, ofisi za Tume za Dar es Salaam zipo mkabala na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mtaa wa Ohio.
 
Vyombo vyote vya Habari vinakaribishwa
-------
 
Omega S. Ngole,
Principal Information Officer,
Constitutional Review Commission (Tanzania),
Ohio Street, 
PO Box 1681,
Dar es Salaam,
Tel: +255 (0) 22 2133425,
Fax: +255 (0) 22 2133442,
Mobile: +255 (00 757 500800,
Website: www.katiba.go.tz

0 comments:

Post a Comment