Thursday 10 January 2013

Re: [wanabidii] UDHAIFU WA CHADEMA/CUF UTALETA MGAWANYIKO NCHINI


mganga njaa mkono uende kinywani
On Thursday, January 10, 2013, weston mbuba <matutetz@yahoo.com> wrote:
> Umenena Yona. Nakuunga mkono
>
> --- On Thu, 1/10/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>
> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
> Subject: [wanabidii] UDHAIFU WA CHADEMA/CUF UTALETA MGAWANYIKO NCHINI
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, January 10, 2013, 8:11 AM
>
> Ndugu zangu
>
> Siku moja baba wa taifa aliwahi kuonya kuhusu chama kinachotaka
> kuongoza nchi kwa kutamka hadharani kwamba vyama vya kikanda , dini ,
> kabila au upande fulani wa muungano havitakiwi na haviwezi kuongoza
> nchi hii .
>
> Aliposema hivi hakugusia ni chama gani au vyama kwangu mimi naona kwa
> wakati huu ni CHADEMA na CUF ambapo CUF inanguvu sana visiwani wakati
> CHADEMA imeanza kuwa na nguvu katika baadhi ya maeneo ya nchi lakini
> sio visiwani kwa sana .
>
> Matokeo yake ni kwa viongozi wa vyama hivi kwa nyakati tofauti kutoa
> matamshi ya kutaka kuwa na muungano wa mkataba au serikali tatu
> kutokana na vyama hivi kutokuwa na wafuasi waliosambaa nchi nzima .
>
> Nawashauri waendeleze harakati za kujenga vyama vyao maeneo yote ya
> nchi na sio baadhi ya maeneo na kuleta visingizio vya serikali tatu au
> muungano wa mkataba kwa maslahi yao ya kisiasa .
>
> Udhaifu wao usiwe kisingizio cha kuwagawa watanzania .
>
> Tukileta utengano katiak nchi hii hakuna atakayebaki , wale wanaotaka
> nchi kutengana kwa sababu zozote zile wao waanze kujikata vipande
> sehemu za miili yao.
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>  
>  
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment