Friday 11 January 2013

Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za Tanzania

Kaaya unashangaza kusema mwanzilishi wa mjdala ameingia mtini.

Kwa asilimia kubwa nimekuwa nikifuatilia michango ya wadau na nimegundua kuwa wachangiaji wengi tumekuwa subjective na si objective. Bado naendelea kusoma hoja za wachangiaji... 

Change is essence to maturation... sihitaji kukupa jibu bali inatakiwa ufanye homework of what is change, what is essence and what is maturity... Once you get the meaning of each then you integrate each word to get the whole sentence.

Dr. John Magufuli is not so exceptional as some of us think guys. He has just made a lot as a Minister of Works but yet has not proven to me and probably many Tanzanians that he can make to be a capable commander in chief.

In case he does fit for the job let us discuss about his personality as someone who can serve Tanzania without paying vengeance  to his "enemies". One of the issues which made us question his ability was his plan to remove the billboards in Dar. Billboards have been there since Mkapa's era while he was saving the same ministry he is in-charge now, but the idea to demolish them came out of vengeance! 

What is Magufuli's destiny in the world of politics?   

On Friday, January 11, 2013 11:55:43 AM UTC+3, Joseph Ludovick wrote:
hawa watu wanaojiita wachambuzi sijui waandishi kuna wakati wanachekesha.nani kati yenu hajui makasri matano aliyojiuzia magufuli na yanafuatana utafikiri ni kwa mfalme mswati.kama alilazimika kukubali nyumba ziuzwe basi yeye asingenunua tena mengi hivyo.ngoja nikatize mitaa yake nipige picha nizimwage humu. lakini magufuli nje ya madaraka alishawahi kufanya nini kinachoweza kushawishi kuwa ni kiongozi,maana mpaka sasa anachofanya ni kufoka pale mambo yanapokuwa yameharibika.nina mashaka nje ya madaraka magufuli hana chochote cha kiuongozi. after all kwangu mimi hakuna mtu katika CCM RIP in advance asiyekuwa mfisadi.magufuli alipindisha barabara ya lami ikapitia jimboni kwake badala ya kufuata ramani za kitaalamu.kwa vigezo vya kitaaluma huyu si fisadi kweli? hata angegombea na mrema.kura yangu ningempa mrema.
  Iko hivi mgombea wa ccm ni Lowassa,anzieni hapo kujadili kuliko kujilisha upepo na huyu bwana

2013/1/11 Chambi Chachage <cham...@yahoo.com>
Mgamba, nililiona jina la Magufuli kwenye ukurasa wa kwanza kabisa  wa orodha ya wateule waliouziana/waliouziwa hizo nyumba - basi angalau hata angekataa na yeye kufadika kihivyo!
 
-------
My mission is to acquire, produce and disseminate knowledge on and about humanity as well as divinity, especially as it relates to Africa, in a constructive and liberating manner to people wherever they may be.

Address: 41 Banks Street # 1, Cambridge, MA 02138 USA
Cellphone: US = +1 (857) 413 - 9521/TZ = +255754771763
Skype: chambi100
Twitter: @Udadisi

From: RICHARD MGAMBA <rmgam...@yahoo.com>
To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, January 9, 2013 3:40 AM

Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za Tanzania

Paul,
Watanzania baadhi yetu nadhani tuna matatizo ya kufikiri. Uamuzi wa kuuza nyumba za serikali ulikuwa ni wa baraza la mawaziri chini ya mwenyekiti, Rais Benjamin Mkapa na katika baraza hilo walikuwemo akina Mh Jakaya Kikwete na Edward Lowassa. Rais JK alinunua nyumba hizo pia.
 
Sasa inakuwaje Magufuli ahukumiwe binafsi kwa uamuzi wa serikali na baraza la mawaziri?

From: paul lawala <pasamil...@gmail.com>
To: wana...@googlegroups.com
Sent: Wednesday, January 9, 2013 11:35 AM
Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za Tanzania

Mgamba
Watu wanataka kupre-empty na kuhukumu kama anafaa au hafai

2013/1/9 RICHARD MGAMBA <rmgam...@yahoo.com>
Kwa nini utake kujua Hatima yake leo? Kwani kama atagombea urais kupitia chama chake cha CCM si ni haki yake kidemokrasia? Na kama ataamua kugombea ubunge jimboni kwake yote ni haki yake kidemokrasia?
 
 Kujuana na Raila Odinga ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria za Tanzania? Mara ngapi Magufuli akiwa waziri alimualika Odinga kwa shughuli za kiserikali na binafsi hapa Tanzania na hakuna aliyekuwa na wasi wasi? Kwa nini leo watu wawe na mchecheto na jambo hili kana kwamba ni uhaini?
 
CCM  kama chama kina taratibu zake za kuwapata wagombea wa urais bara na visiwani baada ya vetting, sasa nadhani tuwaache wenyewe wakati ukifika tutamjua mgombea wa urais wa chama hicho, otherwise tunapoteza muda kuuliza maswali juu na nini hatma ya Magufuli.

From: ELISHILIA.D.S KAAYA <kaaya...@hotmail.com>
To: Fred Alphonce <fredric...@yahoo.com>; "wana...@googlegroups.com " <wana...@googlegroups.com>; "mabadilik...@googlegroups.com " <mabadilik...@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, January 9, 2013 10:59 AM
Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za Tanzania

Sir exactly what do you mean by "essence of maturation" Or it is just another use of colourful vocabulary? Or it is just another use of colourful vocabulary?</div>
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

-----Original Message-----
From: Fred Alphonce <fredric...@yahoo.com>
Date: Wed, 9 Jan 2013 06:11:06
To: <wana...@googlegroups.com>; <mabadilik...@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za
Tanzania

Wadau habari ya leo?
Napenda kujua nini hatima ya Dr. John Pombe Magufuli katika medai ya siasa za Tanzania.
Dr. Magufuli alipata umaarufu na kujulikana kama mchapa kazi wakati wa awamu ya pili ya Ben. Mkapa.
Akiwa kwenye peak ya kufanya kazi inayoonekana ya kusimamia ujenzi wa barabara, kurejesha magari ya serikali yaliyokuwa yanamilikuwa na watumishi wa umma kama yao na kulazimisha yasajiliwe kwa namba za serikali.

Kutoka na nature ya kazi yake akafahamiana na Raila Odinga ambae alikuwa waziri wa barabara Kenya. Raila anaogombea Urais wa Kenya na Magufuli alikwenda Kenya kumnadi mbele ya wafuasi wa ODM.

Magufuli ameuza nyumba za umma kwa bei bwerere, mwaka juzi jimboni kwake alishinda kwa tofauti ya kura 30 huku sehemu za Buselesele na Mganza akiambulia kura chache na kwa hasira alipopewa wizara ya ujenzi akawa ni mtu wa kulipa kisasi kwa kubomoa nyumba nyingi za wafanya biashara zilizo katika hifadhi ya barabara.

2015 Magufuli atagombea Urais kwa tiketi ya CCM au ataridi tena chato na kugombea ubunge akijua kushinda na kushindwa ni 50 kwa hamsini?

Fred 
MATURITY does not come with age, it begins with acceptance of Responsibility
Change is Essence to maturation 

--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsub...@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment