Thursday 10 January 2013

Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?

Mura Mwita, tatizo si madini au rasilimalizingine zilizopo;ninyi kwaasili ni wababe mno. Acheni ukorofi.  Wakurya wao kwa wao wanabaguana kwa kuzingatia koo kama kule Somalia. Muondoe kwanza roho hii mbaya ya ubaguzi. Angalia pale kijiji cha Nyamwaga watu walilazimika kuhama kukimbia kipigo kikali cha kikabila cha wao kwa wao. Hawa jamaa hawakupigania rasilimali zozote, bali ubaguzi tu. Na huyo Mbunge wenu naye hana mchango wa kueleweka kazi kuchochea hasira za wananchi kuhusu madini. Hivi Tarime tu ndo inamadini, au? Mbona Wasukuma wa Kahama hawasemi hayo licha ya kuwa na Bulyanhulu na Buzwagi?
Vin

2013/1/10 Victor Mwita <victormwita@gmail.com>

Ili kukutana inatakiwa watu tuliowapa madaraka ya kutuongoza watukusanye na wawe na agenda. Mm nadhani tunafanya makosa wakati wa kuchaghua viongozi hasa wabunge. Just imagine tuna bahati ya kuwa na wabunge watatu na mmoja ni waziri! Wameshindwa kuinua jamii yao ipate maendeleo. Fortunately watu wa huko ni wachapa kazi sana

On Jan 10, 2013 7:10 PM, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Tunarudi kule kule kwamba wanatarime wenyewe wanawajibu wa kuonyesha dunia na Tanzania kwa ujumla kwamba wanaweza kwa kukaa pamoja na kufanya kazi kwa pamoja ,msipokaa pamoja na ndugu zenu hata akirudi yesu hapo hamtaelewana .

2013/1/10 Victor Mwita <victormwita@gmail.com>

Nilitegemea mbunge wetu angetukusanya sisi wana Tarimw wenye taaluma mbali mbali tukawa kama think tank yake ili tutafute solution ya pamoja, but he is busy with petty politics. Nampenda January Makamba kwa kazi yake kwa wana-Bumbuli. Angekuwa wa kwetu Tarime ingekua vingine

On Jan 10, 2013 6:52 PM, "Victor Mwita" <victormwita@gmail.com> wrote:

Nilichogundua watumishi wanaopelekwa huko wanatumia udhaifu wa tofauti za koo zilizopo huko Tarime kujineemesha badala ya kuwatumikia wananchi. Yona wale watu wako frustrated kwa sababu ya kuwa neglected kwa muda mrefu kwa hiyo baada ya kufukuzwa migodini kuwapisha wawekezaji, wengi wakaanza kulima bangi for commercial purposes maana mazao hayana masoko

On Jan 10, 2013 6:39 PM, "Mathew Bukhi" <bukhimathew@gmail.com> wrote:
Chifu, 
Uhalali huo ni kwa ajili ya 'medical marijuana.

 Yaani kama mtu amepewa prescription ya kutumia bangi kama dawa; na si kutumia bangi kwa ajili ya bangi kukubangua (kukupa ecstacy).

Ingawa nakumbuka majimbo ya Colorado na Washington walikuwa kwenye mchakato wa kulegalize recreational marijuana. Ambapo Obama kupitia federal government walikuwa wakipinga sana hilo suala. Sina uhakika na hatima yake.

On Thursday, January 10, 2013, Victor Mwita wrote:

Nimeshatoa maoni tayari kuhusu uhalali wa bangi. Hata huko USA kuna jimbo limehalalisha matumizi ya bangi

On Jan 10, 2013 4:08 PM, "Reuben Mwandumbya" <ipyana75@yahoo.com> wrote:
Hamna bana Mwita;
Vingekuwa vya kawaida Serikali isingekuwa agaist them,unataka kuhalalisha bana Mwita.
Ukitaka viwe halali usisahau kutoa maoni yako kwenye mchakato wa katiba.
 
Reuben

From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, January 10, 2013 12:41 AM
Subject: Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?

Sasa jamani bangi si ni kitu cha kawaida tu? Wala haina uhusiano na ukali. Gongo hapa mjini imejaa na sioni ikisababisha mapigano na wizi wa ng'ombe.
Seriously tunahitaji mtu wa kurekebisha hali huko Tarime maana napo ni Tanzania
On Jan 10, 2013 3:18 PM, "Reuben Mwandumbya" <ipyana75@yahoo.com> wrote:
>
> Comrade Mwita;
> Tatizo lingine labda nalo linaweza kuwa chanzo cha hali tete Musoma ni matumizi ya BANGE na GONGO,hizi hasira zinazosemwa zinasababishwa na ujasiri unaotokana na haya mambo mawili (hii ni kwa mujibu wa uelewa wangu),wala sio ujasiri.
>  
> Reuben
>
>> ________________________________
>> From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Thursday, January 10, 2013 12:00 AM
>> Subject: Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?
>>
>> Wawakilishi tunao ila sijajua kama hawayaoni hayo matatizo yanayowakabili wapiga kura wao. Tumefanya majaribio kambi zote za siasa lakini hakuna mabadiliko.
>> Hayo ya kusema tuna hasira ni kutuonea tu, kila sehemu watu wana hasira na hata kama kweli kuna watu wenye hasira ndio wamesuswa jamani!
>> Hebu wananchi wa Tarime tuamue kufanya jambo la maana ili kuokoa jamii yetu.
>> Ila watu wa mitandao hivi kweli waliona ni busara kuweka minara yote Nyamwaga tena bondeni na kuacha sehemu za miinuko? Hata kama sijasomea masuala ya mitandao naamini kwa kuweka mnara sehemu iliyoinuka unaongeza coverage.
>>
>> On Thu, Jan 10, 2013 at 2:44 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
>>>
>>> Mtoi,
>>> Hii nayo kali "kudungua helkopta na kombea wakidhani kuwa ilikuwa
>>> imebeba dhahabu." :)
>>>
>>> --
>>> *"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
>>> his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
>>> *
>>>
>>> --
>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>
>>
>>
>> --
>> Victor Caleb Mwita
>> Ministry of Livestock and Fisheries Development
>> P.O. Box 9152
>> Dar Es Salaam
>> Tel: 0766750673,

--
Sent from Gmail Mobile

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

0 comments:

Post a Comment