Wednesday 2 January 2013

Re: [wanabidii] re;if Jesus did not die or rose how will he return?

Ndugu zangu sidhani kama ni sawa kutojadili mada ya kidini hapa kwa sababu dini ni muhimu na chanzo cha uhasama kati ya ndugu huletwa na kutoelwana au kuwa elimu ndogo kuhusu didni fulani. Wakristo wengi huku Kenya hapo zamani hawangeweza kusilikiza kipindi cha Mashairi Katika Idhaa ya Taifa(VOK) kwa sababu mwimbaji wa masahiri hayo alikuwa Mwislamu. Kiswahili kama Lugha ilidhaniwa kuwa lugha ya uislamu. Baada ya wengine wetu kwenda shule, tukagundua kuwa  Kiswahili ni Lugha ya Taifa na Uislamu ni dini kama zile zingine.

Kwa hivyo tafadhali Moderator acha watu wazungumzie mada zote lakini wazingatie heshima na taadhima.
Paulo

From: Salim Rupia <zabarelo@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, January 2, 2013 3:39 PM
Subject: Re: [wanabidii] re;if Jesus did not die or rose how will he return?

Mi nadhani "Moderator" usiruhusu mada ya kidini kujadiliwa humu.
Ningeshauri kila dini ijadili mapungufu ya dini nyingine kwenye majukwaa ya dini zao; ita "make sense" zaidi.
Ama kwa uhakika kabisa mada za kidini zijadiliwe na wapagani (kama upagani sio dini anyway); maana yangu ni kuwa mada kama hii ijadiliwe na watu "neutral" yaani wasioamini dini.
Nimeona mara nyingi kuwa mada kama hii inayoanza kimaskhara inaweza kuja kuisha kwa madhara...kwa sababu inafika mahala mtu anachangia ki imani zaidi na si ki uelewa na hakuna atakae"ona" mtazamo wa upande mwingine.
Why waste time and resources? Tuchangie mambo ya maendeleo wadau; ama tupumzike kwa muda tuinamie ma desk yetu tuchape kazi; hamna dhambi...
Nawakilisha. 

On Wed, Jan 2, 2013 at 11:23 AM, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:
bwana Waziri, nagundua so many questionable things, to start with ndio nikaona kwanza tujadili hilo. React kwenye mada basi...Ngupula

From: MikiDadi Waziri <kabangatz@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, 1 January 2013, 15:45
Subject: Re: [wanabidii] re;if Jesus did not die or rose how will he return?

Endelea kusoma utagundua kitu chi msingi kilichokuwa ndani ya Islam
On Jan 1, 2013 3:42 PM, "Peter Lwegasira" <petermakatu@yahoo.com> wrote:

Kama wanaamini atarudi kwani alienda wapi na kwa njia gani?

------------------------------
On Tue, Jan 1, 2013 4:30 AM PST Godfrey Ngupula wrote:

>
>Nimekuwa nikisoma baadhi ya vitabu vya kiislam na nimegundua kuwa.waislam wana wanaamini kuwa Yesu hakufa msalabani.Na pia hawaamini kama alifufuka. Lakini,wanaamini iko siku Yesu atarudi,tena akiwa muislam na kuwafanya wakristo wote wawe waislam.Swali langu ni hili,huyo Yesu ambaye hakufa wala kufufuka atarudi akitokea wapi?.Ngupula
>
>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>DELL LATITUDE D 620 & D30
>
>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
>CALL : 0786 806028
>Free Delivery in Dar es salaam
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment