Wednesday 2 January 2013

RE: [wanabidii] re;if Jesus did not die or rose how will he return?

mi nimebahatika kusoma both, qur ani na Bible pia,kuna utata mkubwa wa ki-imani juu ya kufa na kufufuka, si rahisi kwa muumini mkristo na ikamuingia akilini kuwa yesu hakufa na wala hakufufuka kama ambavo ilivokuwa vigumu kwa u-stadh maalimu sheikh nk kuamini kuwa alikufa na akafufuka, pamoja na mabishano yote hayo imani zote mbili zinakuja ku-comply sehemu moja, kurudi kwake...kur ani inasema Jesus atarejea tena eventhough dunia itakuwa very ukingoni, na wakristo walio wengi wanaamini hilo

Date: Thu, 3 Jan 2013 09:31:16 +0300
Subject: Re: [wanabidii] re;if Jesus did not die or rose how will he return?
From: zabarelo@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
CC: fay.mashallah@gmail.com

Nimetimiza wajibu wangu kujaribu kuchangia.
Lakini hata tukiamua mjadala uendelee basi wachangie wale ambao wamesoma Quran Tukufu na Biblia; sio kila mtu akurupuke tu...
Mijadala ya dini sio sawa kubisha kwa kuwa una point ama kwa kutumia udhaifu wa mtoa hoja katika kuwakilisha; hapa tunagusa imani yaani kuamini bila kuhoji; sio sawa kudhania tunachangia kama vile kulinganisha ubora wa Yanga na Simba.
Changia kama unajua dini zote sio kama imani yako inavyokuelekeza kwani hapo ndio tutapingana tu kwa kuangalia majina yanasomekaje hata kama hakuna cha kujadili...
Mtu anayeweza kuokoka kwa kusoma michango kwenye forum lazima atakuwa mgeni kutoka Mars...
Tuna Misikiti na Makanisa kila baada ya mtaa mmoja.
 
2013/1/2 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Tuache watu wajadili watakacho as long as hatuvunji sheria za nchi ambayo mtu yupo au matusi au kudhalilishana .

Watanzania tuache uvivu wa kusoma mawazo ya watu wengine hata kama hatukubaliano nayo .

2013/1/2 gilbert maganda <glbmaganda@yahoo.com>
Enendeni duniani mkaihubiri injili mkiwafanya watu wa mataifa kuwa watt wangu na mkiwabatiza katika jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu. Mjadala uendelee maana kuna mtu atapata wokovu hapa, kwa imani zote. Haya waamba ngoma....

Sent from Yahoo! Mail on Android

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

0 comments:

Post a Comment