Thursday 3 January 2013

Re: [wanabidii] Re: serikali haijawaelewa watu wa Mtwara

Namimi nimemwelewa Waziri, ila shaka bado inatanda vinywa vyetu wengi 'kua kinachombakia Mtanzania kwenye rasilimali hizi, hasa za madini hakiendani na pato halisi'. Hii ndio inayo ongeza hasira kwa watu. Tuboreshe na upande huo.
Alexander



From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, January 3, 2013 3:54 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: serikali haijawaelewa watu wa Mtwara

Meli, inayofanya utafiti wa mafuta baharini Mafia maeneo ya 'Ndagoni' imepambana na GAS nyingi sana baharini katika uchimbaji wake baharini hii gas inayotajwa kuwepo baharini karne. Kampuni ya kigeni (ya Kifaransa kama sijakosea) inafanya drilling huko majini na bomba la uchafu linamwaga nje ya bahari nchi kavu eneo maalum Ndagoni.

Hii meli ndio ile ambayo maharamia wakisomali waliivamia kutaka kuiteka wakakamatwa. Kelele tupunguze tuache ushabiki potovu. GAS baharini ipo, nchi kavu. Serikali ipo katika tafiti nyingi. Mzee Nyerere aliziona raslimali hizi akasema tusivune na kuwaachia hawa wazungu waliochora ramani ya mali hizi mpaka tusomeshe vijana wetu waendeshe mitambo na kusimamia governance. Vijana tuache politiking, tusaidie mipango na mikakati mizuri na kujibidiisha ili tuweze kuwa na skills za kujajiriwa na kujiajiri kutumia raslimali hizi for development. Hii muhimu badala ya kujigawa nchi kwa ufahari na majisifa kisiasa. Wapigao kelele waonyeshe mifano mizuri ya utendaji mikoa au vijijini kwao ambako raslimali zipo lakini watu wamebweteka. Ulanzi twanywa elfu mbili kwa siku lakini kuchania elfu 5 tu kila mzazi ili fundi seremala alipo posho kwa kutengeneza madeski ya shule wala hatutaki. Misitu ipo, halmashauri inatoa miti migumu kadhaa madeski yatengenezwe na seremala wa kijijini na timu yake alipwe na wazazi-haieleweki. Ulanzi/kindi, kangara 2000/= per day x 30 days or 366 days ni kiasi gani ushindwe mchango wa elfu tano baada ya mavuno ya mwaka mara moja kwa mwaka kaya 1000+ x 5,000/= ni hela za kutosha wanafunzi wapate madeski, meza ya teacher, kabati la vitabu etc. Tunafanya?
Waziri ameweka clear haswa.

--- On Thu, 3/1/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: serikali haijawaelewa watu wa Mtwara
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 3 January, 2013, 13:56

Ndugu Rashid na wengine waziri ameweka clear

Kwamba Gesi na Mafuta yako baharini na yamekuwepo huko miaka maelfu
yalipopita kabla ya hata hii mipaka yetu kuwekwa , kwahiyo huwezi
kusema tu ni yetu au yao sijui ya upande huu .


On Jan 3, 12:19 pm, ELISA MUHINGO <elisamuhi...@yahoo.com> wrote:
> Labda wananchi wa Mtwara ndio hawajaielewa serikali. Sikutegemea serikali ieleze wanachotaka wananchi wa Mtwara. Kuna mfano gani hai serikali iliwahi kuonekana kuwaelewa wananchi wake.
> Ni kutafuta njia nyingine ya kutatua tatizo hilo Tunaweza kuwahi kabla ya kuelekea hatua ya Somalia. Inawezekana.
>
> --- On Wed, 1/2/13, rashid martin <rashi...@hotmail.com> wrote:
>
> From: rashid martin <rashi...@hotmail.com>
> Subject: [wanabidii] serikali haijawaelewa watu wa Mtwara
> To: "wanabidii google" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, January 2, 2013, 11:10 PM
>
>                          natia wasi wasi na uelewa wa viongozi wetu, sijui niwaite watawala,
> wananchi wa Mtwara hawajasema hawataki gesi isitumike kwa watu wengine, au ni lazima watumie wao tu, si kweli
> watu wa mtwara wanataka si tu kushirikishwa bali hata kufaidi juu ya gesi hiyo ikiwa pamoja na kufungua viwanda hivyo na wao wakapata ajira, wanaogopa falsafa ya kivuli cha mti wa mvuno ambao kimvuli cha mti huo hutua mbali sana na hivo kimvuli icho hakimfaidishi alie panda mti huo, hivi ina yamkinika MAFINGA-IRINGA pamoja na msitu mkubwa kiasi kile lakini wanafunzi wanakaa chini madarasani na wengine wanaweka viroba vikiwa vimejazwa mchanga ndo wanakalia, baba zao na mama zao waliulinda ule msitu kwa mali na kwa hali zao zote.....rejea film ya Darwin's nightmare(filamu ya mapanki) iliyo onyesha jinsi gani wananchi wa Mwanza walivo na wanavokula mapanki alafu minofu ya samaki inapelekwa nje
> watanzania tufunguke tukichekeana nchi itaharibika, hata Somalia na siera lione ilianza hivi hivi
> --
> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment