Sunday 27 January 2013

Re: [wanabidii] Re: MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGE ZACHOMWA MOTO

Hayo yanayofanyika Mtwara tuyaite maasi au? Kwa nn wasiweke terms zao kwenye meza ya mazungumzo? Hapo naomba ku-differ na wale wanaooilaum Serikali kwa hili. Kama kulikuwa na hoja hiyo kwa nn hawakuilleta kupitia kwa wawakilishi wao? Hizi fujo nazifananisha na zile za waumini wa kanisa la Kakobe waliojaribu kuzuia umeme usipite juu ya kanisa lao. Wote tunajua kilichotokea. Much as naona wana hoja ya msingi but vurugu hazitawafikisha popote. Hii ni nchi yetu sote, so tuanzishe mjadala wa namna bora ya kutumia rasilimali za nchi yetu kwa faida ya sisi sote

On Jan 27, 2013 11:52 AM, "Yona F Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Sasa kwanini washambuliaji wanavamia nyumba za wanachama wa CCM au
viongozi wao ?

Hawa wananchi si wao wenyewe ndio wamewachagua tena kwa kishindo ?

On Jan 27, 11:21 am, richard bahati <ribah...@gmail.com> wrote:
> HALI NI MBAYA MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGE ZACHOMWA
> MOTO Habari zaidi na picha hapa:http://goldentz.blogspot.com/2013/01/hali-ni-mbaya-mtwara-damu-ya-wat...

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment