Saturday 26 January 2013

Re: [wanabidii] Re: CHADEMA WAKO SAWA NA FALSAFA YA "NGUVU YA UMMA"

Siku moja nilienda kwenye mkutano nikakuta diwani na watu wengine kama kumi na tatu.... Inasomwa taarifa ya mapato na matumizi ya michango wanasikia watu 13 tu..... Sasa, hapa kweli utalaumu wanasiasa!? Ukitoka unasema rais legelege kwa hili!? Je rais ndie wakusikiliza mapato na matumizi ya kata yako!?

"Nguvu ya umma".....!!!??? Nadhani uwajibikaji ndio hewa hapa tanzania... Ingekuwa kila mmoja anawajibiki ktk nafasi yake ipasavyo, basi hata nguvu ya umma isingalikuwapo...

Unachagua mwenyekiti/mbunge/diwani/rais aliye hewa halafu unaandamana ukiulizwa unasema nguvu ya umma bila kujua kua wewe mwenyewe ulitakiwa uundiwe nguvu ya umma kwa kuchagua kiongozi mbovu...

Hatuna vipimo vya sera na uwajibikaji, kisa imekuja falsa flani basi twaikurupukia tuuuuuu, iwe na manufaa au laaa....

Umakini na uwajibikaji ndilo jambo!


Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 26 Jan 2013 07:00:55 -0800 (PST)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: CHADEMA WAKO SAWA NA FALSAFA YA "NGUVU YA UMMA"

Nafikiri moja kati ya faida ya Falsafa hii ya Nguvu ya Hoja ni Viongozi kusikiliza toka mwanzo ananchi wanapoanza kudai jambo fulani. Maandamano ya Machinga mbeya tungewasikiliza toka mwanzo; Madai ya watu wa Mtwara etc. Ndiyo faida ya Nguvu ya Umma. nafikiri ni hatua njema. Heko CDM

--- On Fri, 1/25/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: CHADEMA WAKO SAWA NA FALSAFA YA "NGUVU YA UMMA"
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, January 25, 2013, 8:56 PM

Ndugu Mbise .

Mnafanya maandamano mnaharibu miundombinu na miradi ambayo imejengwa
kwa fedha za mikopo ya muda mrefu , Kesho mnaenda na kopo lenu .

Tuhamasishane kufanya kazi na kuelimisha umma ili waweze kujiletea
maendeleo wenyewe kwa nchi zetu hizi ambazo demokrasia ni changa
maandamano yanaumiza wengine .

On Jan 26, 7:13 am, "Mbise, Emmanuel (Bulyanhulu)"
<EMb...@africanbarrickgold.com> wrote:
> Nionavyo mimi falsafa hii  inafanya kazi  maana maandamano mengi japokuwa yanazuiwa kwa nguvu kubwa lakini utekelezaji unafanywa kwa haraka zaidi, wananchi tumeliona hilo na mafanikio yanaonekana na ndio yanayopelekea  kila siku maandamano kufanyika ili kero ziweze kushughulikiwa kwa haraka.
> Kwa hatua tuliyofikia mpaka kitu kidogo ndio upate huduma ,uwajibikaji hakuna,uadilifu sifuri n.k
> "NGUVU YA UMMA" inafaa saana
>
> safety has no luck play your role
> Emmanuel G Mbise | Mine Captain Conventional| African Barrick Gold (Pty) | Phone: +255 (22) 2600 508 Ext: 6061 |  Mobile: +255755347135 Fax: +255 (22) 2600 222 | Address: Bulyanhulu Gold Mine, African Barrick Gold, P.O. Box 1081, Dar es Salaam, Tanzania | Email EMb...@africanbarrickgold.com

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment