Saturday 26 January 2013

Re: [wanabidii] CHADEMA WAKO SAWA NA FALSAFA YA "NGUVU YA UMMA"

Ishu sio nguvu ya umma... Ishu ni uwajibikaji...

Unaweza shangaa anayetumia nguvu ya umma kwa mwenzie, ukimkuta idarani pake nae anatakiwa aletewe nguvu ya umma kwani nae ana uozo...

Nguvu ya umma wkt mwingine unakua yale ya kushangaa pa mwenzako panafuka kumbe pako panaungua...

Kimsingi, sio wote wanaoshiriki katika maandamano basi nao ni wawajibikaji... Unashirik nguvu ya umma ilihali nawe si muwajibikaji...

Watanzania tuwajibike, kila mmoja katika nafasi kimataifa!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

From: "Mbise, Emmanuel (Bulyanhulu)" <EMbise@africanbarrickgold.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 26 Jan 2013 04:13:23 +0000
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] CHADEMA WAKO SAWA NA FALSAFA YA "NGUVU YA UMMA"

Nionavyo mimi falsafa hii  inafanya kazi  maana maandamano mengi japokuwa yanazuiwa kwa nguvu kubwa lakini utekelezaji unafanywa kwa haraka zaidi, wananchi tumeliona hilo na mafanikio yanaonekana na ndio yanayopelekea  kila siku maandamano kufanyika ili kero ziweze kushughulikiwa kwa haraka.

Kwa hatua tuliyofikia mpaka kitu kidogo ndio upate huduma ,uwajibikaji hakuna,uadilifu sifuri n.k

“NGUVU YA UMMA” inafaa saana

 

 

safety has no luck play your role

Emmanuel G Mbise | Mine Captain Conventional| African Barrick Gold (Pty) | Phone: +255 (22) 2600 508 Ext: 6061 |  Mobile: +255755347135 Fax: +255 (22) 2600 222 | Address: Bulyanhulu Gold Mine, African Barrick Gold, P.O. Box 1081, Dar es Salaam, Tanzania | Email EMbise@africanbarrickgold.com

 

0 comments:

Post a Comment