Wednesday 2 January 2013

Re: [wanabidii] osterbay

Yachama,
Mbona unajicontradict? Unasema walinunua shamba la familia ya George Washington mwaka 1774. Unasema walinunua Alaska. Sisi tunauza. Tumeuza nyumba za serikali. Tunauza vituo vya serikali. Ni kweli waliuza ardhi za state na federal government, lakini hizi zilikuwa mbuga zilizokuwa hazitumiki. Sisi tunauza vitu vinavyotumika au ambavyo tayari vina infrastructure. Hata Ikulu karibia itapigwa bei. You just watch.
em

2013/1/2 Yachama Gabriel <yachama2012@gmail.com>
Hiyo sio kweli, Maekani ya leo sio sawa na Tanzania ya leo. Acheni kutulinganisha na mareekani jamani. George Washington walinunua shamba la familia yake miaka ya 1774. Wenyewe walinunua hata Alaska na jimbo la Texas na eneeo kubwa la jimbo la California na New Mexico. Pia kuna maeneo mengi tu ya Sate na Federal gvt wameyauza. Mimi nakubaliana na kutangazwa minada wanapouza maeneo kama haya badala ya kimyakimya inayoashiria ufisadi. Nia ni njema ila utaratibu mbaya.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Date: Wed, 2 Jan 2013 09:10:27 -0500
Subject: Re: [wanabidii] osterbay

Hapa Marekani, mabepari waliokubuhu, maeneo yenye majengo ya serikali ni kama vile holy places.
Hayawezi kuuzwa kwa wawekezaji au wafanyi biashara. Ni bongo tu ambako hata Ikulu imeshapangiwa bei.
em

2013/1/2 <lucsyo@gmail.com>
Nakuunga mkono Yachama; na huo ndo uwekezaji wenye tija tunaouhitaji karne hii; hakuna sababu ya kukaa na eneo ambalo mwisho wa siku halina faida yeyote kwa jamii,
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: "Yachama Gabriel" <yachama2012@gmail.com>
Date: Wed, 2 Jan 2013 08:44:01 +0000
Subject: Re: [wanabidii] osterbay

Mimi sioni ubaya wa kituo kuuzwa na kuwekwa mall maana kitu kinahitaji portion tu ya eneo kwa kazi za kipolisi.
Mall italeta ajira nyingi na sura mpya ya eneo. Hata vijumba vya Tanesco vinaweza kuvunjwa na waliomo wakakaa kwenye jengo moja lla ghorofa 10.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

From: severina martin <sisoba2003@yahoo.co.uk>
Date: Wed, 2 Jan 2013 07:34:15 +0000 (GMT)
Subject: [wanabidii] osterbay

heri ya mwaka mpya 2013 wandugu,naomba kueleweshwa ni kweli kituo cha police cha osterbay kimeuzwa kwa mganda anataka kufungua mall kama ya mlimani city?

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment