Wednesday 2 January 2013

Re: [wanabidii] osterbay

Hiyo safi kabisa, wawaondoe. Hata vijumba vya polisi karibu na namanga vilivyojengwa 3-4 yrs ago ni kuhaibu kiwanja tu, wavipige chini vyote.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 2 Jan 2013 12:17:06 +0300
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] osterbay

Hivi kwanini hamjiulizi yale magari yanayoibiwa vifaa pindi yakipakiwa pale wakati ni kituo cha Polisi siyo suala la kujiuliza pia? ujambazi ambao unatokea sana maeneo ya karibu licha ya kituo cha Polisi je bado yanahalalisha uwepo wa yale majengo pale?  Ukisoma andiko la mradi linaonesha kwamba kutakuwa na kituo cha Polisi kwa maana ya kwamba Ofisi ya RPC na nyinginezo lakini makazi ya Askari yatajengwa Kunduchi

2013/1/2 Zablon Joseph <jkiboga@gmail.com>
Kisha kituo cha polisi kitakuwa wapi? au uwekezaji utatoa nafasi kwa kujengwa kituo ndani ya eneo hilo?

2013/1/2 <lucsyo@gmailuw.com>

Nakuunga mkono Yachama; na huo ndo uwekezaji wenye tija tunaouhitaji karne hii; hakuna sababu ya kukaa na eneo ambalo mwisho wa siku halina faida yeyote kwa jamii,
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: "Yachama Gabriel" <yachama2012@gmail.com>
Date: Wed, 2 Jan 2013 08:44:01 +0000
Subject: Re: [wanabidii] osterbay

Mimi sioni ubaya wa kituo kuuzwa na kuwekwa mall maana kitu kinahitaji portion tu ya eneo kwa kazi za kipolisi.
Mall italeta ajira nyingi na sura mpya ya eneo. Hata vijumba vya Tanesco vinaweza kuvunjwa na waliomo wakakaa kwenye jengo moja lla ghorofa 10.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

From: severina martin <sisoba2003@yahoo.co.uk>
Date: Wed, 2 Jan 2013 07:34:15 +0000 (GMT)
Subject: [wanabidii] osterbay

heri ya mwaka mpya 2013 wandugu,naomba kueleweshwa ni kweli kituo cha police cha osterbay kimeuzwa kwa mganda anataka kufungua mall kama ya mlimani city?

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment