Wednesday 2 January 2013

Re: [wanabidii] osterbay

Mimi sioni ubaya wa kituo kuuzwa na kuwekwa mall maana kitu kinahitaji portion tu ya eneo kwa kazi za kipolisi.
Mall italeta ajira nyingi na sura mpya ya eneo. Hata vijumba vya Tanesco vinaweza kuvunjwa na waliomo wakakaa kwenye jengo moja lla ghorofa 10.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

From: severina martin <sisoba2003@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 2 Jan 2013 07:34:15 +0000 (GMT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] osterbay

heri ya mwaka mpya 2013 wandugu,naomba kueleweshwa ni kweli kituo cha police cha osterbay kimeuzwa kwa mganda anataka kufungua mall kama ya mlimani city?

0 comments:

Post a Comment