Wednesday 2 January 2013

Re: [wanabidii] osterbay

Nionavyo nchi nyingine hata uingereza, ni maeneo ya nje ya miji tu ndipo kuna vituo vya polisi kwenye nyumba tofauti za kipekee. Maeneo mengine huwa kipande ndani ya majengo makubwa yenye shughuli nyingi. Wenzetu nyumba za mahakama ndizo zenye sifa kubwa baada ya bunge na city halls. Kituo kinahitaji labda vyumba kama sita au 8 tu. Lakini pia wanaeza kukigawa kukawekwa vituo vingi badala ya kimoja kwenye eneo hilo.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

From: Zablon Joseph <jkiboga@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 2 Jan 2013 11:53:55 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] osterbay

Kisha kituo cha polisi kitakuwa wapi? au uwekezaji utatoa nafasi kwa kujengwa kituo ndani ya eneo hilo?

2013/1/2 <lucsyo@gmailuw.com>
Nakuunga mkono Yachama; na huo ndo uwekezaji wenye tija tunaouhitaji karne hii; hakuna sababu ya kukaa na eneo ambalo mwisho wa siku halina faida yeyote kwa jamii,
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: "Yachama Gabriel" <yachama2012@gmail.com>
Date: Wed, 2 Jan 2013 08:44:01 +0000
Subject: Re: [wanabidii] osterbay

Mimi sioni ubaya wa kituo kuuzwa na kuwekwa mall maana kitu kinahitaji portion tu ya eneo kwa kazi za kipolisi.
Mall italeta ajira nyingi na sura mpya ya eneo. Hata vijumba vya Tanesco vinaweza kuvunjwa na waliomo wakakaa kwenye jengo moja lla ghorofa 10.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

From: severina martin <sisoba2003@yahoo.co.uk>
Date: Wed, 2 Jan 2013 07:34:15 +0000 (GMT)
Subject: [wanabidii] osterbay

heri ya mwaka mpya 2013 wandugu,naomba kueleweshwa ni kweli kituo cha police cha osterbay kimeuzwa kwa mganda anataka kufungua mall kama ya mlimani city?

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment