Friday 4 January 2013

Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani

Duuu kumbe, ninajifunza mengi sana katika hili.

On 1/4/13, Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com> wrote:
> Sangenoi
>
> Maisisi Olaitoriani
>
> Habari za siku Nyingi rafiki yangu
>
> Hapo umenikuna
>
> *Huwezi kusema KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI Wakati wewe ni CUF au CHADEMA*
>
> Real Change for Real Development,
>
> Lemburis Kivuyo
> +255654650100/078 7665050/0755646470
> Website: www. <http://www.infocomcenter.com/>kivuyo.com, Skype:
> lekivuyo, Facebook: http://facebook.com/lemburis.kivuyo, Titter:
> http://twitter.com/lembu1, Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo
> , Google+: gplus.to/lembukivuyo
>
>
> 2013/1/4 Asanterabi Sang'enoi <asangenoi@yahoo.com>
>
>> Wandugu naomba nami nichangie kuhusu hili kidogo. Kwanza nikiri kabisa
>> mimi ni mmojawapo ninayekerwa na wanasiasa kuchanganya salamu kwa
>> kujaribu
>> kuungwa mkono na wananchi. Mimi kama mkristo najua wazi kuwa Bwana
>> asifiwe
>> au Tumsifu Yesu Kristo (ambayo kimsingi ni moja hiyohiyo) siyo salamu
>> bali
>> ni Kaulimbiu. Kwa hiyo ni makosa kabisa kulinganisha Bwana Asifiwe au
>> Tumsifu Yesu Kristu na Asalaam Aleykum. Pili mtu yeyote asiyemwamini Yesu
>> Kristo hapaswi kamwe kusema Kauli mbiu hiyo ya Bwana Yesu Asifiwe au
>> Tumsifu Yesu Kristo maana huo ni unafiki mkubwa. Huwezi kusema KIDUMU
>> CHAMA
>> CHA MAPINDUZI Wakati wewe ni CUF au CHADEMA. Salamu ya Kikristo
>> inayofanania na Asalaal Aleykum ni SHALOM Hivyo niombe wanasiasa na watu
>> wengine wasiofahamu kama kweli wanataka kutoa salamu kwa makundi
>> mchanganyiko ili kila kundi lijisikie basi waseme Asalaam Aleykum na
>> SHALOM
>> tutawaelewa na Kamwe wasichezee Kauli Mbiu ya Bwana Yesu asifiwe.
>> Maandiko
>> yanasema USILITAJE JINA LA BWANA MUNGU WAKO BURE. Yesu Kristo ni
>> MUNGU!!!.
>>
>> --- On *Thu, 1/3/13, Yachama Gabriel <yachama2012@gmail.com>* wrote:
>>
>>
>> From: Yachama Gabriel <yachama2012@gmail.com>
>>
>> Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Received: Thursday, January 3, 2013, 7:40 PM
>>
>>
>> Neno "kauri" sio sahihi. Naona alittaka kusema "kauli". Vyema tuwe
>> tunasahihishana lugha maana tumezidi kuharibu kiswahili, sijui kwa
>> kutojua
>> au makusudi.
>> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.
>> ------------------------------
>> *From: * matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
>> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
>> *Date: *Thu, 3 Jan 2013 16:16:51 -0500
>> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
>> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
>> *Subject: *Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>>
>> Erick,
>> Nitakupa upande wangu. Hatari moja ya haya mambo ni kuwa na watu kama
>> wewe.
>> Mnachanganya tu.
>> Matinyi.
>>
>>
>>
>>
>> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>>
>> ----- Reply message -----
>> From: "Erick Mathew" <mathewerick@yahoo.com>
>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Subject: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>> Date: Thu, Jan 3, 2013 3:36 pm
>>
>>
>> Habari wanabidii!napenda kujibu kauri ya matinyi, anataka kupotosha umma
>> au la atuambie kua yeye ni mpagani mpiga ramli na mtesa watu-
>> ndio kazi ya wasio mwamini mungu ambao ukijenga nyumba nzuri kuliko yake
>> kesho yake unajikuta umelala kando ya mto au kugezwa msukule maana ndio
>> shughuli yao!
>> Nataka aniambie anacho amini kati ya dini hizi kuu mbili,ili
>> nimsaidie,ukristo or uislam!maana hakuna imani icyokua na alama yake ya
>> utambulisho,hata vyama vya siasa vina utambulisho wao,na freemason pia
>> wanao!Shekhefu alifanya kosa kubwa sana,angekua msikitini wangemtoa na
>> bakora angelijua jiji!
>>
>>
>>
>>
>> ________________________________
>> From: "matinyi@hotmail.com" <matinyi@hotmail.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Thursday, January 3, 2013 8:04 PM
>> Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>>
>>
>> Issa,
>> Haya, sawa, hiyo salamu ni ya kiislamu. Hapo ndipo ilipo hoja yangu,
>> kwamba dini zikae mahala pake. Basi.
>>
>> Shekifu huwa anaanza na hii na anamalizia na ya Bwana Yesu akiamini
>> anawakosha watu wa dini zote. Huu ndio upuuzi kwenye siasa, tena mkubwa.
>>
>> Tusibaguane, hata kwa mema.
>>
>> Tanzania na siasa zake zisiwe na dini.
>>
>> Matinyi.
>>
>>
>>
>> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>>
>> ----- Reply message -----
>> From: "Said Issa" <saidissa100@yahoo.com>
>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Subject: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>> Date: Thu, Jan 3, 2013 11:56 am
>>
>>
>> Kaka Matinyi,
>> You are misleading the guys na unafanya makosa. Wewe huijui dini ya
>> kiislamu na huwezi kuandika kama alivyoandika hapa chini.
>> Ni kweli labda kwenye Kurani haimo salam - ngojea nitafute, lakini kwenye
>> nguzo moja ya uislamu ambayo ni sala tunatakiwa tutoe salam mara mbili na
>> tuseme 'assalaam alaykum' kwa upande wa kulia na 'asslaam alaykum wa
>> rahamatullahi ' kwa upande wa kushoto - kama vile tunavyoamkiana na ndio
>> tuweze kumaliza sala.
>> Pia, uislamu sio Kurani peke yake. Mengi aliyoyafanya Mtume wetu Mohammad
>> (SAW) ni part ya uislamu na mpaka mwisho inasemwa kuwa..."he who obeys
>> Mohammad is indeed obeying Allah".
>> Mtume wetu akitoa salam popote pale anapowakuta watu - sio waislamu tu.
>> Kufanya alilokuwa akifanya yeye kwetu ni sunnah (yaani jambo zuri) na
>> linafaa.
>> Kwa bahati mbaya dini yetu imeshushwa kwa kiarabu, lakini hii haina maana
>> tuchukie kila kitu cha waarabu.
>>
>> Shekifu sio muislamu. Ninamjua vizuri sana - he is a very jolly guy. Yeye
>> anafuata trend ya mambo yanavyokuenda tu na sio kwamba katoa salam
>> kwasababu ni muislamu. Ni kweli katoa salam pahala sipo, lakini hii haina
>> maana kwamba kutoa salam ni upuuzi na ujinga.
>> Hakuna haja kuumizana imani zetu unnecessarily!
>>
>> .....bin Issa.
>>
>>
>>
>>
>> ________________________________
>> From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>> To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
>> Sent: Thursday, January 3, 2013 8:32:22 AM
>> Subject: RE: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>>
>>
>>
>> Kiukweli kabisa, salamu si dini. Dini ni utii wa mwanadamu kwa Mwenyezi
>> Mungu. Kuitumia salamu visivyo ni tatizo.
>>
>> Biblia haijamfundisha muumini yeyote salamu ya "Bwana Asifiwe" au
>> "Tumsifu
>> Yesu Kristo". Huu ni ubunifu tu wa watu na hauna ulazima wowote kufuata;
>> sana sana ni ujuha tu. Mbona zamani hii salamu haikuwa na umaarufu huu?
>> Wa
>> nini leo kama si ulofa wa mawazo tu na hisia?
>>
>> Kurani haijamfundisha muumini yeyote salamu ya "Asalam Aleikum" bali hii
>> ni salamu ya Kiarabu, kama zilivyo "Ugonile" kwa Kinyakyusa au "Oyimore"
>> kwa Kijaluo, au "Salut" kwa Kifaransa, au "Konichiwa" kwa Kijapani, au
>> "Namaste" kwa Kihindi, n.k. Hakuna dini kwenye hii salamu na ndiyo maana
>> hata Waarabu wakristo wanaitumia.
>>
>> Hivyo, kuzitumia salamu hizi kwa kudhani kwamba ni kuziheshimu dini si
>> sahihi. Hilo moja. Ni kujichanganya na kupotosha umma.
>>
>> Pili, unapowasalimia Watanzania kwa dini zao, je, inakuwaje kwa wale
>> wasiokuwa na dini hizo? Je, vipi kwa wasiomwamini Mungu? Je, vipi kwa
>> Wakristo wasiotumia salamu hizo? Inakuwaje kwa muislamu asiyekitumia
>> Kiarabu mathalani yile wa Bosnia au Uchina?
>>
>> Lakini mbaya zaidi ni kujikuta kwamba tunajenga mbegu mbaya ya
>> kujitambulisha kwa dini zetu badala ya utu wetu na Utanzania wetu. Hili
>> ni
>> jambo la hatari na linapaswa kupigwa vita na wote wanaoitakia mema
>> Tanzania
>> na wenye ufahamu wa wanachokisema na kukifanya; tusiendeende tu kama
>> maboya
>> majini, tutakuja kujuta. Hii ni mbegu ya kibaguzi na ni ulofa wa
>> kiitikadi,
>> kisiasa na ugonjwa wa kutojifahamu. Kwa nini unataka usalimiwe kwa
>> unachodhani ni dini na wakati si lolote si dini?
>>
>> Tanzania ni nchi ya Watanzania; siyo nchi ya Wakristo na Waislamu.
>>
>> Matinyi.
>>
>>
>>
>>
>> ________________________________
>> Date: Thu, 3 Jan 2013 08:26:11 -0800
>> From: bertmutta@yahoo.com
>> Subject: RE: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>> Kama wanasiasa na watu wengine hutumia salaam za aina tatu majukwaani
>> kujali makundi matatuya kiimani (asalaam alikum, Bwana Yesu asifiwe,
>> Tumsifu Yesu Kristu) basi asalaam aleikum sio sahihi tukiwa kanisani.
>> ELIMU YA KUKARIRISHWA
>>
>> Gosbert Mutasingwa
>> P.O Box 40
>> Biharamulo
>> KAGERA-Tanzania
>> 0784 857 775/0758 491 247
>>
>> --- On Thu, 1/3/13, Juma abdallah <juma.abdallah@huawei.com> wrote:
>>
>>
>> >From: Juma abdallah <juma.abdallah@huawei.com>
>> >Subject: RE: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>> >To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> >Date: Thursday, January 3, 2013, 5:49 AM
>> >
>> >
>> >
>> >Asalam alikum-Amani ya bwana iwe juu yenu
>> >Waalaikum salaam- Nanyi juu yenu iwe amani ya bwana.
>> >
>> >
>> >
>> >From:wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On
>> Behalf Of Reuben Mwandumbya
>> >Sent: Thursday, January 03, 2013 3:05 PM
>> >To: wanabidii@googlegroups.com
>> >Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>> >
>> >Salim;
>> >Katika uhalisia Shekifu kakosea,alitakiwa kusoma mazingira asikwaze
>> wengine.
>> >Salamu hii ni ya Kiarabu hata kama maana yake kwa kiswahili ni Jambo
>> lakini haikutakiwa pale,then bado kachanganya dawa zinazoripuka.
>> >Pamoja na kwamba wapo Waarabu Wakristo ukweli unabaki kwamba sio asili
>> yao,inawezekana walislimu kama wengine wanavyofanya
>> >
>> >Reuben
>> >
>> >________________________________
>> >
>> >From:Salim Rupia <zabarelo@gmail.com>
>> >To: wanabidii@googlegroups.com
>> >Sent: Wednesday, January 2, 2013 11:08 PM
>> >Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>> >
>> >
>> >
>> >Sikuwepo, labda ilikuwa Swaumu hiyo nyingine lakina alikuwa na Sheikh
>> Ramia Bagamoyo na kichwa kilimuuma sana siku hiyo na pia hapa nam "quote"
>> yeye mwenyewe kwenye hotuba zake; ukipenda kusikiliza utasikia.
>> >Lakini sikuwa na maana ya kuchanganya hoja na Swaum; tuseme nimekosea.
>> Vipi kuhusu hiyo Salaam? Maana ndo hoja nilochangia kuna mtu alisema ya
>> kijinga na upumbavu...
>> >2013/1/3 Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>
>> >Salim usitupotoshe tafadhali;
>> >Au labda upe ufafanuzi swaum unayoongelea hapa ni ipi?kama ni ya
>> > Kiislamu
>> hutakuwa sahihi.
>> >Hata Wakristo tunafunga na tunakuwa na swaumu wakati wa mfungo wetu
>> kipindi kuelekea PASAKA.
>> >So dont mix up issues.
>> >
>> >Reuben
>> >
>> >________________________________
>> >
>> >From:Salim Rupia <zabarelo@gmail.com>
>> >To: wanabidii@googlegroups.com
>> >Sent: Wednesday, January 2, 2013 10:44 PM
>> >
>> >Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>> >
>> >Jamani, "Asalaam Alaykum" ni sawa na "jambo?"; yaani greetings" tu ila
>> kwa lugha ya Kiarabu.
>> >Mnajua kuwa kuna Waarabu Wakristo na wanasalimia hivyo hivyo?
>> >Na ujinga na upumbavu unaosemwa hapa ni wa salaam hiyo na walioanzisha
>> ama ni huyo Muumini binafsi?
>> >Mi namkumbuka Mkatoliki mmoja aliekuwa hadi anafunga Swaum ndiye
>> aliehamasisha sana kusalimia kwa salaam hiyo majukwaani; alikuwa Mkuu wa
>> kwanza wa Nchi hii. Tunasemaje hapo...
>> >Huyo M bunge alikosea sana kwa kuwa kama wengi waliochangia
>> wanavyosema, inawezekana alikariri salaam; kuwa akiwa mbele ya watu wengi
>> aanze na salaam hiyo bila kukumbuka mkusanyiko ule ulikuwa wa watu gani.
>> >Mi nakumbuka wakati wetu kwa wale tulopita National Service (JKT)
>> ukipangwa ulinzi "Main Gate" kuna amri na maswali ambayo unakariri
>> kuuliza
>> kwa kila dereva wa gari litakalotaka kuingia kambini. Tulikuwa
>> tunawatania
>> kina "green kwanja" kuwa wao hata mchana watamwambia dereva "zima taa za
>> mbele, washa taa za ndani" kwa kuwa hiyo ndo ilikuwa amri ya kwanza!
>> Kisa;
>> kukariri...
>> >2013/1/3 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
>> >Hizi salamu ni za kijinga mno mno. Sijui huu upumbavu ulianzishwa na
>> nani? Yaani tu taifa la ajabu sana.
>> >Matinyi.
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>> >
>> >----- Reply message -----
>> >From: "godfred mbanyi" <mbanyibg@yahoo.com>
>> >To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> >Subject: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>> >Date: Thu, Jan 3, 2013 5:14 am
>> >
>> >
>> >Huu unafiki wa kisiasa utawaponza wengi!!! Utakuta kiongozi ni mwislamu
>> safi, swala zote na hija ameenda, lakini anasimama kwenye jukwaa la siasa
>> na salaam za " Tumsifu Yesu Kristo"!!!!!!!!!! Kisa, kutafuta sapoti ya
>> wapiga kura!!! Asifiwe, mtu usiyemwamini?
>> >
>> >
>> >
>> >--- On Thu, 1/3/13, magreth Mulokozi <m.mulokozi@gmail.com> wrote:
>> >
>> >
>> >From: magreth Mulokozi <m.mulokozi@gmail.com>
>> >Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>> >To: wanabidii@googlegroups.com
>> >Date: Thursday, January 3, 2013, 2:07 AM
>> >
>> >
>> >Duu anatafuta kura za 2015 sasa , duu pole sana Nd Shekifu
>> >
>> >
>> >
>> >2013/1/3 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
>> >.....alikariri.....siyo alikalili.
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>> >
>> >
>> >
>> >----- Reply message -----
>> >From: "adeladius makwega" <makwadeladius@googlemail.com>
>> >To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,
>> "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>> >Subject: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
>> >Date: Thu, Jan 3, 2013 4:46 am
>> >
>> >
>> >Shekifu aunza mwaka mpya Vibaya
>> >
>> >Mbunge wa Lushoto Hendry Shekifu ameuunza mwaka wa 2013 vibaya
>> >baada ya kuzomewa Kanisani na waamini katika sherehe za mwaka
>> >mpya baada ya kupewa nafasi ya kuwasalimu washirika wa Kanisa Kuu la
>> >KKKT Lushoto Tanga.
>> >
>> >Ibada hiyo ya kuukaribisha mwaka mpya ilianza kwa waumini kupokea
>> >mahubiri ya mwaka mpya yaliyohubiriwa na Mchungaji Walelaza na
>> >baadae kufuatiwa na ibada ya ubatizo ambapo watoto wawili kutoka
>> >familia mbili walibatizwa.
>> >
>> >Mara baada ya ubatizo huo ibada ilifuatiwa na utoaji wa Sadaka
>> >huku mbunge huyo wa Lushoto akionekana kushiriki kikamlifu
>> >katika ibada hiyo .
>> >
>> >Akiwa amevalia suti ya rangi nyeusi yenye mistari midogo
>> >midogo miyeupe Mbunge Shekifu ambaye aliwahi kushika nyadhifa
>> >mbalimbali zikiwamo ukuu wa mkoa alipewa nafasi ya kusimama mbele ya
>> >waamini mithili ya kasisi.
>> >
>> >Nafasi hiyo ilitolewa wakati wa Matangazo huku mchungaji
>> >akiwaomba waumini hao kumsikiliza Mbunge wao ili awasalimu. Basi
>> >Mbunge Shekifu alisimama huku akiweka vizuri koti kwa kujifunga
>> >vifungo vya koti hili ambalo lilionekana kuutosha mwili wake
>> >mkubwa uliojengeka vizuri.
>> >
>> >Alikisogelea kipaza sauti mara alianza kuongea kwa
>> >kujiamini."Aslaam Aleikumuuu…" Duu utangulizi huo uliharibu hali ya
>> >hewa ya kanisa hilo wauumini kuanza kuzomea na kuguna kutokana
>> >salaam hiyo iliyotolewa mwanzoni katika sehemu isiyo sahihi.
>> >
>> >Hali hiyo iliwafanya waumini hao kuibua munkali huo kutokana na
>> >kitendo cha mbunge huyo pengine kukalili namna ya kusalimia watu
>> >katika majukwaa ya kisiasa bila ya kujua kuwa sasa madhari
>> >aliyokuwa nayo ilikuwa ya salaam moja tu kama sikosei ni Bwana
>> >Yesu asifiwe au Tumsifu Yesu Kristu.
>> >
>> >Hekima ilitumika pengine huku yule aliyempa nafasi ya kuwasalimu
>> >wauumini wake akijilaumu kuitoa nafasi hiyo iliyotia shubiri
>> >kanisani hapo na kuibua zomeazomea hiyo ambalo sio jambo la
>> >kawaida kwa waumini kufanya hivyo.
>> >
>> >Mchungaji Walelaze ilibidi kuinuka na kusema waziwazi kuwa Ndugu
>> >Shekifu umekosea sana kwanza ulitakiwa kujitambua kuwa wewe
>> >japokuwa ni Kiongozi pia wewe ni mkiristu lolote utakalo fanya
>> >popote pale tambua unamajukumu mawili kwanza ukiristu wako
>> >na pili kuwa kiongozi. Hapa ni kanisani ulitakiwa kuwasalimia
>> >waashirika kwa salaam yao siyo salaam hiyo uliyoitoa hapa.
>> >
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment