Sent from my iPhone
--
Thanks. Kumbe maana moja ni lugha tu ndio tofauti gongana. Kumbe ni Bwana yule yule aliye juu tumuombae na tumuaminiaye wote. Ugomvi wa nini? Unaweza ukasema Kihaya, Kijita, Kilatini, Kiarabu kubwe ni Bwana yule yule aliye juu. Thanks
--- On Thu, 3/1/13, Juma abdallah <juma.abdallah@huawei.com> wrote:
From: Juma abdallah <juma.abdallah@huawei.com>
Subject: RE: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 3 January, 2013, 13:49--Asalam alikum-Amani ya bwana iwe juu yenu
Waalaikum salaam- Nanyi juu yenu iwe amani ya bwana.
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Reuben Mwandumbya
Sent: Thursday, January 03, 2013 3:05 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
Salim;
Katika uhalisia Shekifu kakosea,alitakiwa kusoma mazingira asikwaze wengine.
Salamu hii ni ya Kiarabu hata kama maana yake kwa kiswahili ni Jambo lakini haikutakiwa pale,then bado kachanganya dawa zinazoripuka.
Pamoja na kwamba wapo Waarabu Wakristo ukweli unabaki kwamba sio asili yao,inawezekana walislimu kama wengine wanavyofanya
Reuben
From: Salim Rupia <zabarelo@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, January 2, 2013 11:08 PM
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
Sikuwepo, labda ilikuwa Swaumu hiyo nyingine lakina alikuwa na Sheikh Ramia Bagamoyo na kichwa kilimuuma sana siku hiyo na pia hapa nam "quote" yeye mwenyewe kwenye hotuba zake; ukipenda kusikiliza utasikia.
Lakini sikuwa na maana ya kuchanganya hoja na Swaum; tuseme nimekosea. Vipi kuhusu hiyo Salaam? Maana ndo hoja nilochangia kuna mtu alisema ya kijinga na upumbavu...
2013/1/3 Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>
Salim usitupotoshe tafadhali;
Au labda upe ufafanuzi swaum unayoongelea hapa ni ipi?kama ni ya Kiislamu hutakuwa sahihi.
Hata Wakristo tunafunga na tunakuwa na swaumu wakati wa mfungo wetu kipindi kuelekea PASAKA.
So dont mix up issues.
Reuben
From: Salim Rupia <zabarelo@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, January 2, 2013 10:44 PM
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
Jamani, "Asalaam Alaykum" ni sawa na "jambo?"; yaani greetings" tu ila kwa lugha ya Kiarabu.
Mnajua kuwa kuna Waarabu Wakristo na wanasalimia hivyo hivyo?
Na ujinga na upumbavu unaosemwa hapa ni wa salaam hiyo na walioanzisha ama ni huyo Muumini binafsi?
Mi namkumbuka Mkatoliki mmoja aliekuwa hadi anafunga Swaum ndiye aliehamasisha sana kusalimia kwa salaam hiyo majukwaani; alikuwa Mkuu wa kwanza wa Nchi hii. Tunasemaje hapo...
Huyo M bunge alikosea sana kwa kuwa kama wengi waliochangia wanavyosema, inawezekana alikariri salaam; kuwa akiwa mbele ya watu wengi aanze na salaam hiyo bila kukumbuka mkusanyiko ule ulikuwa wa watu gani.Mi nakumbuka wakati wetu kwa wale tulopita National Service (JKT) ukipangwa ulinzi "Main Gate" kuna amri na maswali ambayo unakariri kuuliza kwa kila dereva wa gari litakalotaka kuingia kambini. Tulikuwa tunawatania kina "green kwanja" kuwa wao hata mchana watamwambia dereva "zima taa za mbele, washa taa za ndani" kwa kuwa hiyo ndo ilikuwa amri ya kwanza! Kisa; kukariri...
2013/1/3 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
Hizi salamu ni za kijinga mno mno. Sijui huu upumbavu ulianzishwa na nani? Yaani tu taifa la ajabu sana.
Matinyi.
T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
----- Reply message -----From: "godfred mbanyi" <mbanyibg@yahoo.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa KanisaniDate: Thu, Jan 3, 2013 5:14 am
Huu unafiki wa kisiasa utawaponza wengi!!! Utakuta kiongozi ni mwislamu safi, swala zote na hija ameenda, lakini anasimama kwenye jukwaa la siasa na salaam za " Tumsifu Yesu Kristo"!!!!!!!!!! Kisa, kutafuta sapoti ya wapiga kura!!! Asifiwe, mtu usiyemwamini?
--- On Thu, 1/3/13, magreth Mulokozi <m.mulokozi@gmail.com> wrote:
From: magreth Mulokozi <m.mulokozi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, January 3, 2013, 2:07 AM
Duu anatafuta kura za 2015 sasa , duu pole sana Nd Shekifu
2013/1/3 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>.....alikariri.....siyo alikalili.
T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
----- Reply message -----
From: "adeladius makwega" <makwadeladius@googlemail.com>
To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
Date: Thu, Jan 3, 2013 4:46 am
Shekifu aunza mwaka mpya Vibaya
Mbunge wa Lushoto Hendry Shekifu ameuunza mwaka wa 2013 vibaya
baada ya kuzomewa Kanisani na waamini katika sherehe za mwaka
mpya baada ya kupewa nafasi ya kuwasalimu washirika wa Kanisa Kuu la
KKKT Lushoto Tanga.
Ibada hiyo ya kuukaribisha mwaka mpya ilianza kwa waumini kupokea
mahubiri ya mwaka mpya yaliyohubiriwa na Mchungaji Walelaza na
baadae kufuatiwa na ibada ya ubatizo ambapo watoto wawili kutoka
familia mbili walibatizwa.
Mara baada ya ubatizo huo ibada ilifuatiwa na utoaji wa Sadaka
huku mbunge huyo wa Lushoto akionekana kushiriki kikamlifu
katika ibada hiyo .
Akiwa amevalia suti ya rangi nyeusi yenye mistari midogo
midogo miyeupe Mbunge Shekifu ambaye aliwahi kushika nyadhifa
mbalimbali zikiwamo ukuu wa mkoa alipewa nafasi ya kusimama mbele ya
waamini mithili ya kasisi.
Nafasi hiyo ilitolewa wakati wa Matangazo huku mchungaji
akiwaomba waumini hao kumsikiliza Mbunge wao ili awasalimu. Basi
Mbunge Shekifu alisimama huku akiweka vizuri koti kwa kujifunga
vifungo vya koti hili ambalo lilionekana kuutosha mwili wake
mkubwa uliojengeka vizuri.
Alikisogelea kipaza sauti mara alianza kuongea kwa
kujiamini."Aslaam Aleikumuuu…" Duu utangulizi huo uliharibu hali ya
hewa ya kanisa hilo wauumini kuanza kuzomea na kuguna kutokana
salaam hiyo iliyotolewa mwanzoni katika sehemu isiyo sahihi.
Hali hiyo iliwafanya waumini hao kuibua munkali huo kutokana na
kitendo cha mbunge huyo pengine kukalili namna ya kusalimia watu
katika majukwaa ya kisiasa bila ya kujua kuwa sasa madhari
aliyokuwa nayo ilikuwa ya salaam moja tu kama sikosei ni Bwana
Yesu asifiwe au Tumsifu Yesu Kristu.
Hekima ilitumika pengine huku yule aliyempa nafasi ya kuwasalimu
wauumini wake akijilaumu kuitoa nafasi hiyo iliyotia shubiri
kanisani hapo na kuibua zomeazomea hiyo ambalo sio jambo la
kawaida kwa waumini kufanya hivyo.
Mchungaji Walelaze ilibidi kuinuka na kusema waziwazi kuwa Ndugu
Shekifu umekosea sana kwanza ulitakiwa kujitambua kuwa wewe
japokuwa ni Kiongozi pia wewe ni mkiristu lolote utakalo fanya
popote pale tambua unamajukumu mawili kwanza ukiristu wako
na pili kuwa kiongozi. Hapa ni kanisani ulitakiwa kuwasalimia
waashirika kwa salaam yao siyo salaam hiyo uliyoitoa hapa.
Basi mchungaji huyo alimaliza mtafaruku huo huku mbunge huyo wa
Lushoto akishuka katika mimbari ya kanisa hilo kwa fedhea na
kurejea katika kiti chake ambacho kilikuwa jirani na mlango wa
kutoka nje ya kanisa.
Mara baada ua ibada hiyo ya mwaka mpaya mbunge huyo alionekana
kuwa mtu wa mwisho kuondoka kanisani mara baada ya washirika wote
kuondoka lakini washirika hao walisema kuwa mbunge huyo
amekalili kusalimia kwa salaam hizo ndiyo maana alipitiwa.
"Mimi nilitaka Mbunge aombe msamaha kwa alilolifanya sio
kuondoka kimya kimya tu hawa wanasiasa hawana adabu kabisa wanakuja
na mbwembwe alafu wanapata aibu."alisema mama mmoja
aliyejitambulisha kwa jina moja tu la Mama Sarah.
Mshirika mwingine alimuunga mkono mchungaji Waleleza kwa kumkumbusha
Mbunge huyo kuwa makini sana akiwa kanisani na kuheshimu salaam
za ibada za makanisa sio kuja na salaam za nyumba zingine
za ibada.
"Pengine inawezekana Mbunge huyu asipewe tena nafasi ya
kuwasalimu waumini kanisani kutokana na kosa hili," aliserma mzee
mmoja wa makamo ambaye alidai kuwa hilo ni kosa baya.
Mwishoni alionekana Mbunge Shekifu akiingia ndani ya gari yake
nyeupe yenye Bendera ya CCM ikipeperuka mkono wa kushoto. Ndani ya
gari hiyo kukiwa na akina mama watatu ambao walionekana wakifunga
milango na dereva wa gari hilo akiondoa gari katika eneo la
kanisa hilo.
Wasalaam Adeladius Makwega
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:
Post a Comment