Saturday 19 January 2013

Re: [wanabidii] MAANDAMANO MAKUBWA MTWARA - 19.01.2013

Hao wanatakiwa kuchapwa manake wanaaibisha nchi mbele ya wawekezaji si nikweli jamani? Hawa jamaa wabishi mno na hawasilizi viongozi wao ambao wametukuka na busara nyingi toka mbinguni shame on them. Mtanisamehe bure ila kiukweli viongozi wetu huo ndo mtazamo wao. Laiti hawa jamaa wangekumbukwa kupelekewa maendeleo longtime kitambo haya yasingetokea lakini kila kukicha wanapokea maiti za watoto wao wa kichinga toka Dar es Salaam kisa wameua kwenye mapambano ya machinga na polisi halafu leo hiii kama hamtaki watoto wao wafanye uchinga mnabeba gesi kupeleka Dar, wao lini watapata fursa za ajira.

Serikali should do better on this, hata kama imeamua kupeleka gesi hiyo Dar.

2013/1/19 Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com>

Ndugu wanabidii
Mzimu wa Gas unaendelea kuitafuna nchi, ukianzia huku Mtwara. Leo wananchi wamehamasishana Wilaya zote, za Lindi na Mtwara ili kupinga GAS ISITOKE  Mtwara.

Hakika Elimu na makubaliano yanahitajika. Viongozi wanaohusika watafute Hekima ya hali ya juu kutatua tatizo hili. Tukiendelea kusema ni wahuni watafanya mambo ya kihuni na tutapata hasara kubwa zaidi!
sylvanus

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment