Saturday 19 January 2013

Re: [wanabidii] Jesus is God- from a former Muslim

Haya mambo tunayashabikia lakini yanatuyumbisha na kuleta chuki kweli, na kwa ubinafsi wetu tunajiona tumetimiza wajibu wetu na mungu atatujza karama nyingi, upumbavu mtupu kwani badala ya kujenga yanaleta ubomoaji wa amani mungu gani huyo mnaefanya kutujulisha habari zake.

Yesu ni mungu sawa then umeongezeka inch ngapi za urefu, we baada ya kujua hilo unanafasi gani ya kwenda mbinguni? folks vitu vya kutibua amani tusiviendekeze na isitoshe humu watu wamesoma wanajua hicho ulichoweka kama wewe unavyojua then what ru trying to accomplish then?

On Sat, Jan 19, 2013 at 8:03 AM, Paul Liyai <pauliyai@yahoo.com> wrote:

-

Twaha,
I didn't mean to bombad you with such videos but since you decided to go that road, I have decided to take to your course so that we can tango. Your take?

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment