Tuesday 29 January 2013

Re: [wanabidii] Kwa nini serikali tatu?

Mimi ingekuwa ni uamuzi wangu, tungebaki na jitu linaitwa Tanzania tu....kwangu ni bora basi tukawa na "lander" kama huko Ujerumani kuliko kuwa na Serikali sijui mbili ama tatu. Lakini kwa sababu haya yanashindikana basi Serikali 3 ndiyo mbadala wa ninachopendezewa nacho

2013/1/29 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Baraka,
 
Sihitaji kupiga kampeni yoyote lakini ni lazima watu wazima wenye akili timamu tujadiliane kwa kuangalia uhalisia wa mambo na si ushabiki, kuchanganya mambo ama hata unafiki. Ndiyo maana nimesema, kama watu hamuutaki uvunjeni tu huu muungano badala ya kuota ndoto za miujiza. Porojo za muungano wa mkataba za Karume na Seif ni mfano mmoja wa uongo na unafiki kwa kuwa hakuna kitu kama hicho bali wanachokisema wao ni kuuvunja na kisha kubakia na ujanjaujanja. Hali kadhalika mawazo ya Chadema kwamba tuwe na serikali ya muungano nusu-mkate hayawezekani. Hakuna serikali nusu-mkate duniani kwa kuwa serikali ni chombo kamili chenye mamlaka ndani na nje na hasa pale inapofikia kwenye masuala yanayotegemea sovereignty.
 
Malalamiko kwamba eti Zanzibar ina wimbo, bendera, na vidudu vingine, ni malalamiko kama ya watoto kulia vidue vya kuchezea. Mbona kila jimbo (wanaita state) la Marekani lina vitu hivyo na zaidi? Mbona kila jimbo (wanaita country) la Ujerumani lina vitu hivyo na zaidi? Mbona kila jimbo (wanaita nchi pia, nchi ndani ya dola moja) la Uingereza lina vitu hivyo na zaidi? Tukishakuwa na vya Tanganyika tutapata nini cha zaidi?
 
Wazo kwamba tuwe na serikali tatu lakini yenye serikali ya muungano ndogo (dhaifu) linazua mambo mengi ambayo nashangaa kwa nini watu hawajiulizi kwayo. Mfano. Tukiwa na serikali ya muungano yenye wizara nne au tano, au sita, yale mambo yasiyokuwa ya muungano yatabakia kwenye serikali za Zanzibar na Tanganyika, mathalani suala la mazingira, elimu, maji, nishati, madini, ujenzi, n.k. Je, itakuwaje pale tutakapohitajika kusaini makubaliano ya kimataifa? Waziri yupi atasaini na kwa mamlaka yapi kisheria (za kimataifa)?
 
Ngoja niweke kirahisi zaidi. Kwenye sheria ya kimataifa itakayotambulika ni sovereign state ya TANZANIA. Kama hii Tanzania haina usimamizi wa masuala, tuseme ya mazingira, ni nani atayesimamia mazungumzo na utiaji saini wa masuala ya mazingira huko duniani wakati Tanganyika na Zanzibar hazina sovereignty?

Chadema walisema kwamba tushirikiane kwenye diplomasia lakini kwenye ushirikiano wa kimataifa kila mtu aende kivyake. Hebu nieleze, inawezekanaje? Eleza kwa ufahamu wako.
 
Aidha, ina maana kwamba kwenye jumuiya kama SADC au AU sisi tutakuwa na Tanganyika na Zanzibar lakini kwenye eti "diplomasia" tutakuwa pamoja - kivipi? Sovereignty iko kwa nani? Sera ya nje iko kwa nani? Diplomasia ni mbinu ya utekelezaji wa siasa za kimataifa, sasa mnawezaje kuwa pamoja kwenye diplomasia lakini kwenye ushirikiano wa nje hamko pamoja? Hii ni alinacha!
 
Kushindwa kutambua huu mvurugano ni dalili kwamba Watanzania hatujui tunadajili nini na ndiyo maana ile blogu ya Kwetu ni Zanzibar iliona kwamba walichosema Chadema na walichosema CUF na Seif na Karume ni sawa wakati ukiviangalia ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Lakini pia watu msibweteke na suala la IDADI YA SERIKALI. Jambo la msingi ni ubora wa mfumo kabla ya kuangalia idadi ya serikali - idadi ya serikali ni matokeo ya mfumo na kanuni (principles), pengine na malengo ya kitaifa.
 
Matinyi.

Date: Tue, 29 Jan 2013 18:22:25 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Kwa nini serikali tatu?
From: bmwasaga@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

hahah Matinyi piga kampeni mawazo yako yakubalike kwa Watanzania walio wengi kinyume na hapo hakuna mabadiliko

2013/1/29 <msiwahili@gmail.com>
Matinyi,
Ni serikali moja tu au Zanzibar waachiwe waende zao kwa amani.

Mwamba
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

Date: Tue, 29 Jan 2013 10:14:35 -0500
Subject: Re: [wanabidii] Kwa nini serikali tatu?

Chadema is totally misled in this. Sad.

T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Kwa nini serikali tatu?
Date: Tue, Jan 29, 2013 10:01 am

Lakini, bara tunahitaji serikali ya nini? Kikwete ni rais wetu na amiri
jeshi mkuu, kwa nini mnataka kutuongezea viongozi?
Mimi naunga mkono Chadema lakini sijaona mantiki ya kuwa na serikali tatu.
Ni matumizi juu ya matumizi na matatizo juu ya matatizo tu. Zanzibar hawana
jeshi na hatuwezi kuwa kwenye mizani sawa, a million people versus 45
million.
em

2013/1/29 Said Issa <saidissa100@yahoo.com>

> >Mbowe na wafuasi wa CHADEMA wako sahihi kusema ziwepo serikali tatuMbowe
> na wafuasi wa CHADEMA wako sahihi kusema ziwepo serikali tatu
>
> Yes!  Now you are talking sense brother!
> Sasa sio tuseme tu, lakini na nyinyi huko Bara piganeni mpate hio serikali
> yenu ya Tanganyika.
> Waungeni mkono hao Chadema, kwani wao wanaonesha kuwa they are very
> practical na sio wa midomo mitupu kama wengine.
>
> >Je vitambulisho vya Tanzania vitakuwa vya aina ngapi?
>
> Sijui hapa Nd. Mngonge unazungumzia vitambulisho gani, lakini kama ni
> passports, basi passports zote zitakuwa kama zilivyo hivi sasa isipokuwa
> kwa nyuma zitaandikwa :
> THE GOVERNMENT OF TANGANYIKA or THE GOVERNMENT OF ZANZIBAR.
> Kwahivyo, mtu ukimpa passport yako atajua mara moja kuwa wewe ni Mtanzania
> lakini unatoka either Tanganyika au Zanzibar. Hili naona Chadema wakichukua
> nchi 2015 litakuwa
> ni jambo rahisi sana kukubaliana nao, kwasababu muelekeo mzuri wanao
> tayari.
> Tukeshakubaliana hilo na baadae kila mtu akawa na sarafu yake na wakilishi
> wake wa nje (diplomats), basi hatuna tena cha kugombania. Itakayobakia
> itakuwa ni kuchapa kazi tu!
>
> ...bin Issa.
>
> N.B.
> I hope Matinyi will not see this msg.
> Kama Admin utaweza kufanya yeye asiipate msg hii nitashukuru sana,
> kwasababu sina mood ya ugomvi kwa leo.
>
>   ------------------------------
> *From:* mngonge <mngonge@gmail.com>
> *To:* wanabidii@googlegroups.com
> *Sent:* Tuesday, January 29, 2013 3:42:17 AM
> *Subject:* Re: [wanabidii] Kwa nini serikali tatu?
>
> Nafikiri sababu ya msingi wanayosimamia CHADEMA ni pale Mbowe
> aliponukuliwa akisema "tayari wakitoa uhuru wa Zanzibar kuwa na Rais,
> bendera na wimbo wao wa taifa"
> Ukiangalia kwa makini uwepo wa serikali tatu unaletwa zaidi na kitendo
> cha wazanzibar kutaka kuwa na nchi yao inayojitegemea. Kama hilo
> lisingekuwepo sidhani kama tungekuwa na mjadala unaohusu muungano.
> Wote tungependa tuwe na serikali moja ya kitaifa na hivyo kila kitu
> kuwa sawa kati ya bara na visiwani.
>
> Mbowe na wafuasi wa CHADEMA wako sahihi kusema ziwepo serikali tatu (
> Tanganyika au Tanzania bara, Zanzibar au Tanzania Visiwani na Serikali
> ya Muungano). Kama Zanzibar wanapenda kutambuliwa kama wazanzibar
> chini ya serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iweje Tanganyika isiendelee
> kutambuliwa kama Tanganyika na watanganyika wake? Nafikiri jibu liko
> wazi, ni ama kuwa na serikali moja au tatu hiki kiini macho cha kuwa
> na serikali mbili ambapo tuna serikali ya muungano na serikali ya
> Zanzibar kitaendelea mpaka lini? Je vitambulisho vya Tanzania vitakuwa
> vya aina ngapi?
>
> 2013/1/29 Ntunaguzi Ntiyakunze <ntunaguzin96@gmail.com>:
> > Wanabidii,
> >
> > Nanukuu kauli moja ya mwenyekiti wa CHADEMA katika kikao cha Kamati Kuu
> (CC)
> > juzi ambapo agenda moja kubwa ilikuwa ni kupitisha mpango mkakati wa
> mwaka
> > 2013 ili kushinda chaguzi zote kuanzia serikali za vitongoji, vijiji na
> > mitaa mwaka 2014 na Uchaguzi Mkuu 2015.
> >
> >
> > Katika suala zima la Muungano, Mbowe alisema uwepo wa serikali tatu
> > hauepukiki kwa kuwa tayari Tanzania Visiwani wameshakuwa na serikali yao
> > hivyo ni jukumu la Watanzania Bara kupata serikali ya Tanganyika na kisha
> > kuwepo na serikali ndogo ya Muungano. Alisema serikali tatu inawezekana
> > ikiwa viongozi wataacha unafiki wa kusema muungano utavunjika huku tayari
> > wakitoa uhuru wa Zanzibar kuwa na Rais, bendera na wimbo wao ya taifa.
> > Tunawaunga mkono wenzetu Wazanzibar katika kupigania uhuru kamili na kwa
> > sasa sisi ndio tunaoonekana wa ajabu kushindwa kuuliza serikali ya
> > Tanganyika," alisema.
> > Swali;
> > Je kuna sababu za msingi ambazo CHADEMA wanazo mpaka kufikia hatua ya
> > kuzitaka serikali tatu tofauti na ilivyo hivi sasa?
> >
> > --
> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> >
> >
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment