Saturday 5 January 2013

Re: [wanabidii] JAJI WARIOBA KUKUTANA NA WANAHABARI KESHO, JUMAMOSI, JANUARI 5, 2013, OFISI ZA TUME, JIJINI DAR ES SALAAM KUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI

Kaka Lwegasira,

>Mkutano ulikuwepo?

Hata kama ulikuwepo, sijui kama utatusaidia Watanzania kutuletea mabadiliko yoyote yale.
Hio Katiba tayari washaiandaa na haya yote ni babaisha bwege tu!
Nimewaona hawa wajumbe wa hii Kamati ya Katiba Mpya kwetu Pemba wanavyokuwa wakali pale mambo ya Muungano yanapohojiwa - kama vile wameelezwa kuwa Muungano ni msahafu au biblia.
Anyway, Unguja na Pemba tushaamua kuipigia kura Chadema hio 2015 ili tupate kukaa kitako na ndugu zetu wa Bara kwaajili yakuangalia wapi tunakuenda. CCM hawapo tayari kwa mazungumzo yoyote.

...bin Issa.

From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, January 5, 2013 3:55:58 AM
Subject: Re: [wanabidii] JAJI WARIOBA KUKUTANA NA WANAHABARI KESHO, JUMAMOSI, JANUARI 5, 2013, OFISI ZA TUME, JIJINI DAR ES SALAAM KUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI

Mkutano ulikuwepo?

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, January 4, 2013 5:39 PM
Subject: Re: [wanabidii] JAJI WARIOBA KUKUTANA NA WANAHABARI KESHO, JUMAMOSI, JANUARI 5, 2013, OFISI ZA TUME, JIJINI DAR ES SALAAM KUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI

Kailima.
Msikose kumuuliza/kumtaka afafanue kuhusu mwilima unaosambazwa kwenye msg kuwa mswada umeishaanza kuchakachuliwa kuruhusu Mahakama ya kadhi kinyume cha matakwa ya watanzania

--- On Fri, 1/4/13, kailima kombwey <kailima.kombwey@googlemail.com> wrote:

From: kailima kombwey <kailima.kombwey@googlemail.com>
Subject: Re: [wanabidii] JAJI WARIOBA KUKUTANA NA WANAHABARI KESHO, JUMAMOSI, JANUARI 5, 2013, OFISI ZA TUME, JIJINI DAR ES SALAAM KUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, January 4, 2013, 12:39 AM

Thank you Brother. I wll B there.
On Jan 4, 2013 11:10 AM, "Omega S. Ngole" <omegangolle@yahoo.com> wrote:
Wakuu,
Kwa taarifa - Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Jospeh Warioba, ataongea na Wanahabari kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Tume kesho, Jumamosi, tarehe 5 Januari, 2013, kuanzia saa 4:00 asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano uliopo 'Ground Floor' katika jengo la Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Kwa rejea, ofisi za Tume za Dar es Salaam zipo mkabala na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mtaa wa Ohio.
 
Vyombo vyote vya Habari vinakaribishwa
-------
 
Omega S. Ngole,
Principal Information Officer,
Constitutional Review Commission (Tanzania),
Ohio Street, 
PO Box 1681,
Dar es Salaam,
Tel: +255 (0) 22 2133425,
Fax: +255 (0) 22 2133442,
Mobile: +255 (00 757 500800,
Website: www.katiba.go.tz
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment