Mwanangu Matinyi
Nimesoma hayo maadishi ya Mchungaji Mtikila tena na tena. Nimejitaidi sana kujizuia kukasirishwa na upotoshwaji wa historia ya watu wa maziwa makuu na kujifariji kwa kusema kimoyomoyo kuwa ama kweli Mchungaji Mutikila na hao wanaonufaika na hoja zake si watu wakuuzwa na Wana Umajumui Kiafrika pote nje na ndani ya bara la Afrika. Nikakumbuka aliwahi kushitukiwa na Mh Rostam Aziz kwa kumsaidia vijisenti kidogo...na nakumbuka aliwahi kusema haya anayoyasema juu ya eti Watusi kwa kuelekeza chuki yake kwa "watu wa nje" aliiowaita "Gabachori", yaani Watanzania akina Prof Shivji na marehemu Amil Jamal!!!. Nikasema hama kweli nchi inao uhuru wa kila mtu kuamini chochote anachotaka kuamini bora apangi kumdhuru mtu yoyote. Ila lazima kuwa makini katika kufuatilia nyendo za watu wenye imani kama hizi eti maana leo "Gabachori" na kesho" Watutsi" na kesho kutwa sijui watakuwa nani "adui zetu" yalabi!!! Kweli Mungu Ibariki Afrika.
Mwl. Lwaitama
Muumuni wa Umajumui wa Kiafrika kama "Mtutsi" Nyerere ingawa mimi nadhani ni Mhutu au Mtwa!!!
Date: Fri, 4 Jan 2013 07:10:57 -0800
From: elisamuhingo@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] BARUA YA WAZI KWA WATANZANIA KUHUSU WANYARWANDA NCHINI
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Natafuta muda wa kutosha kusoma text hii kwa undani zaidi. Isipokuwa nampongeza mwandishi kwa kidogo nilichosoma. Ilikuwa nipate muda niandike kuhusu wanyarwanda tulionao tanzania na matukio yanayotokea sasa DRC. Rola Nkunda alitekwa na Rwanda huku kila mtu akijua ni kibaraka wao. Hadi sasa hawajamkabidhi DRC. Sasa DRC kuna Mach 23 (M23) Rwanda imewasaidia huku ikikana mpaka wakaingia Goma. Wanataka mazungumzo na kmoja ya ajenda ni maslahi ya watutsi wachache wenyeji wa DRC. Ni wenyeji maana waliingia huko miaka 100 na zaidi iliyopita. Tumesikia ama kuona watusi ndani vya vyombo vyetu vya dolla. Majeshi, Hospitali Polisi niseme nini niache nini?! Habari za Bahima Empire tulizijadili kwa kina wakati tukipinga mpango wa haraka wa shirikisho la afrika mashariki. Nakumbuka kuandika makala kutaka Rwanda isiingie ndani ya Jumuia hii kabla ya kukana hadharani kuwa Karagwe si sehemu yake. Viongozi wetu wanaoona mbali kuliko wanyarwanda hawakujali. Wanyarwanda wanayo mipango ya muda mrefu. Migogoro inayoendelea DRC ni mpango wao wa muda mrefu wa kuigawa DRC vipande viwili kimoja cha mashariki kiwe himaya yao. Mipango yao ya muda mrefu ni pamoja na kuifanya sehemu ya Kagera mali yao huko tuendako. huenda maaba ya miaka 50 au zaidi. Miaka fulani kulikuwa na utaratibu maalum wa kuwashughulikia wasomali. Ipo haja ya kuwa na utaratibu maalum wa kuishughulikia Rwanda. Sikutarajia Rwanda baada ya mgogoro uliopo sasa iendelee kuwa mwanachama wa Jumuia yetu ya Afrika mashariki --- On Tue, 1/1/13, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment