Tuesday 4 December 2012

Re: [wanabidii] RE: WIZARA YA MALIASILI NA SHIRIKA LA TANAPA CHIMBIENI WANYAMA MAJI

Ndugu yangu.Nilishaongea sana miaka mingi iliyopita kuhusu utajiri wetu wa wanyama.Na nikakemea kuhusu biashara ya kuua wanyama [simba,tembo,chui,twiga,pundamilia]na wengine.kama kuna watu hapa kwa wanabidii waliniona nini niliandika watakuwa na kumbukumbu.Kuna adui kama watatu ambao watawamaliza wanyama wetu kwa muda wa miaka 15 tu kuanzia sasa.Nayo ni professional hunters[granted by blind Government],Climate change and global warming,poachers.Nilishaolozesha mazoo makubwa hapa USA ambayo yanaingiza mabilioni ya pesa kwa mwaka.Na kitu kilichonishangaza sehemu ambayo watu upenda sana ni ile yenye wanyama kutoka east africa.Na wameipa jina kabisa serengeti.kuna zoo moja ambayo ni kubwa kama national park ipo ohio.watu wazima utozwa $30,watoto 12.watu ujaa sana hapo.Jamani watanzania kwanini tunauza wanyama??????????.Sasa wamarekani wengi hawatumii tena pesa nyingi kwenda Tanzania na kenya.Wanakwenda kwenye hayo mazoo.baada ya miaka michache yataitwa national park sio zoo tena.kwani ina wanyama zaidi ya 20,000.Kuna watu hapa walikuja ya sera zao za uchumi uchwara bila kuangalia tunaenda watu.kawaida najua sera za uchumi wa zamani ni kutumia resources na kuuza bila kujua zitaisha ,wao wanasema tunajenga uchumi???.Niliwauliza resources zikiisha ??????.Hawana jibu.Sasa ndio hapo nikawaambia tunatakiwa tuwe na busara ya kutazama mbele na tuwe na GREEN SUSTAINABLE ECONOMY[ni uchumi endelevu kwa kiswahili].huu uchumi watu wanakuja kuona tu na kula kwenye hoteli zetu,kutembea kwa kutumia usafiri wetu,kulala kwenye hoteli zetu na hatimaye kutuachia dollar hapa nyumbani.Nilisikitika kusikia Rais wa nchi anasema anataka kujenga barabara kupita katika ya mbuga ya serengeti.Hii ni busara kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Jamani naomba kama kuna mtu apinge hapa.tulipitisha barabara kwenye mbuga ya MIKUMI.JE, sasa hivi ukipita mikumi unaona wanyama?????.zamani ukipita daraja bovu lazima uone simba pale .je wapo sasa hivi.Kwa nini Hatutumii akili????????????.Kazi kusafiri na kuja kuomba omba tu nje ya nchi.Eti kuna waziri mmoja anamsifia Rais kwa kusafiri kwani tunajenga barabara sasa hivi.Ndivyo tunajenga uchumi wa nchi???????????.Na watanzania hawajui hizo pesa ni mikopo.watoto wetu watalipa tu ,na watakuwa hoiiiiii ,masikini.TUFUNGUE MASIKIO NDUGU ZANGU WATU WANAITAMANI TANZANIA,WANAITAFUNA KWA KUWATUMIA VIONGOZI WETU WASIOKUWA NA BUSARA NA UPEO WA KUONA MBELE.MUNGU IBARIKI TANZANIA.TUTAFIKA TU.ENOUGH IS ENOUGH.

--- On Mon, 3/12/12, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:

From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] RE: WIZARA YA MALIASILI NA SHIRIKA LA TANAPA CHIMBIENI WANYAMA MAJI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 3 December, 2012, 5:09

Lengai,


Hujui zinanufaisha ndugu zako walio Ngorongoro wanaosomeshwa bure, wanapewa hadi chakula bure!

Zinawasaidia Wamasai wa Ngorongoro. Ndugu zako!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: LENGAI OLDOINYO <lengai2000@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 1 Dec 2012 19:22:53 +0000 (GMT)
To: <hlib@muhas.ac.tz>; <mum@mum.ac.tz>; <info@mzumbe.ac.tz>; <info@out.ac.tz>; <info@ruco.ac.tz>; <mfumbusa@yahoo.com>; <vcsaut@saut.ac.tz>; <admission@saut.ac.tz>; <stmarksadmin@sjut.ac.tz>; <gchelelo@sjut.ac.tz>; <admin@sjut.ac.tz>; <sua@suanet.ac.tz>; <vc@suanet.ac.tz>; <dvc@suanet.ac.tz>; <dvcadminfin@suanet.ac.tz>; <fos@suanet.ac.tz>; <ice@suanet.ac.tz>; <sua-tu@suanet.ac.tz>; <scsrd@suanet.ac.tz>; <pestman@suanet.ac.tz>; <plan@suanet.ac.tz>; <pro@suanet.ac.tz>; <support@suza.ac.tz>; <info@teku.ac.tz>; <dpacademic@duce.ac.tz>; <elctsmmuco@smmuco.ac.tz>; <info@butmaninternational.com>; <sematangotours@cybernet.co.tz>; <serenacarhire@habari.co.tz>; <sgresort@yahoo.com>; <sss@habari.co.tz>; <tours@albatros.co.tz>; <mia@albatros.co.tz>; <info@chadema.or.tz>; <rassingida@pmoralg.go.tz>; <mhariri@habarileo.co.tz>; <advertising@dailynews.co.tz>; <jennie@albatros.co.tz>; <shidolya@yako.habari.co.tz>; <sssafaris@cybernet.co.tz>; <s-s.kolowa@web.de>; <wanabidii@googlegroups.com>; <unasemaje@radiofreeafricatz.com>; <mwananchipapers@mwananchi.co.tz>; <globalpublishers@dar.bol.co.tz>; <educate@intafrica.com>; <costech@costech.opc.org>; <info@satif.or.tz>; <info@satf.org>; <eotf@raha.com>; <eotf@cats-net.com>; <zitto@chadema.or.tz>; <worldtourstanzania@hotmail.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] RE: WIZARA YA MALIASILI NA SHIRIKA LA TANAPA CHIMBIENI WANYAMA MAJI

Mimi nadiriki kusema Tanzania inaingiza fedha nyingi sana kutokana na Hifadhi za Taifa Tanzania lakini sielewi fedha hizi zinaenda wapi na zinafanya kazi gani nchini. Wizara na Shirika la Tanapa vinaendeshwa kisiasa. Watu wanaangalia fedha inayoingia inufaishe familia zao lakini hawajali wanyama wanaoingiza fedha hizo. Hivi Tanzania ilivyo na vyanzo vingi vya maji inakuwaje Wasomi wa Wizara ya Mali asili na utalii na Shirika la Tanapa wanaangali wanyama wakifa kwa kukosa maji kwenye mbuga za Katavi na Mahale.

 

Kwa nini fedha zinazoingia zisichimbe maji toka ardhini yakaweza kuponyesha Wanyama wanaokufa hifadhini. Au Serekali ya CCM imebweteka na misaada toka nje hivyo inasubiri waletewe mafungu ya misaada toka Marekani na kwingineko. Wizara ya Mali Asili na utalii tumieni akili mlizopewa na Mwenyezi Mungu chimbeni maji ardhini kuokoa maisha ya Wanyama wanaotuingizie fedha mnazoiba na kwenda kuzificha Ulaya.

 

Hii ni aibu kuona wanyama wanakufa wakati Dunia iko juu ya maji. Mbona watu binafsi tunachima maji nyie kama Wizara na Shirika mnashinwa nini kuchimba.maji. Mtakosa Wanyama wa kuuza mpate fedha na familia zenu. CCM kuweni wabunifu sio kungoja masaadfa kwa kila kitu duh mnaboa.

Mkereketwa

Lengai Ole Letipipi

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment