Sunday 30 December 2012

[wanabidii] Mbeya kwawaka moto tena

Imekuwa ni mazoea sasa kusikia kwamba moto umezuka katika masoko ya wafanya buashara huko Mbeya.
Haikuwa jambo la kushangaza jana umati mkubwa wa watu waliokuwa wanashuhudia moto ukiteketeza bidhaa za mamilioni ya fedha katika soko la Mwajnlwa Jijini Mbeya.
Hii hali inayojitokeza mara kwa mara itatukwamua kwenye umaskini  kweli?
Fuatilia zaidi kisa hiki hapa:

 http://goldentz.blogspot.com/2012/12/maghala-ya-kuhifadhia-bidhaa-za-wafanya.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment