Monday 31 December 2012

Fw: Re: [wanabidii] Watanzania tupo 44,929,002 - Mtazamo wangu

SAWA KATI YA 45M NI WANGAPI NI RESOURCEFUL?

BAADHI YA SIFA ZA MTU KUWA RESOURCEFUL

  1. PHYSICAL WELL BEING -NGUVU ZA KUFANYA KAZI
  2. INTELLECTUAL WELL BEING -AKILI NA MAARIFA YA KUFANYA KAZI KWA USAHIHI (PRECISION) UNAWEZA KUWA NA NGUVU BILA AKILI
  3. COMMITMENT AND MOTIVATED -UTAYARI WA KUFANYA KAZI BILA SHURUTI-UNAWEZA KUWA NA NGUVU NA AKILI LAKINI HAUKO TAYARI KUFANYA KAZI
  4. INTEGRITY -UADILIFU KATIKA KUZALISHA NA KUHAKIKISHA KILICHOZALISHWA KINATUMIKA KWA WALENGWA KWANI HATA NGURUWE AWEZA KUZAA VITOTO VINGI HALAFU AKAVILA-HATA UKIWA NA SIFA ZILE TATU KAMA HUNA UADILIFU WEWE SIO RESOURCEFFUL
KUMBE TUTAJIKUTA RASLIMALI WATU TANZANIA NI NDOGO SANA  KULIKO TUNAVYOTEGEMEA. MF. TUNA WATU WANA NGUVU, WASOMI, WACHAPAKAZI LAKINI MAFISADI JE, HAO NI RASLIMALI KWA MAANA SAHIHI YA NENO?

--- On Mon, 12/31/12, Kusirie Senkondo <kusirie@gmail.com> wrote:

From: Kusirie Senkondo <kusirie@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Watanzania tupo 44,929,002 - Mtazamo wangu
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, December 31, 2012, 1:30 AM

Nadhani tuiangalie kwa mtazamo kinyume na huo wako ndugu Ipyana!
1. Katika hii idadi ya 45M, asilimia ngapi ni watu wanaoweza kuzalisha mali?
2. Kama ni asilimia kubwa, then tuweke mkakati wa maximize matumizi bora na sahihi ya rasilimali tulizo nazo. Ninaamini tuna rasilimali nyingi na za kutosha kuhudumia hata Watanzania 100M endapo tu tutajipanga sawasawa.

Kusirie

On Mon, Dec 31, 2012 at 12:17 PM, Ipyana Lwinga <ipyanalwinga@gmail.com> wrote:
Watanzania sasa tupo 44,929,002
mwaka 2002 tulikuwa 34.4million
Mwaka 1967 tulikuwa 12,313,054

Tanzania bara, 43,625,434
Zanzibar 1,303,568

Growth rate sasa ni 2.6% ukilinganisha na 2.9% ya mwaka 2002

2016 Projected Population ni 51mil

Kwa mtazamo wa kawaida hii ni idadi kubwa sana ukiringanisha na
rasilimali tulizonazo, Tanzania need to have a more serious Policies
to reduce Growth rate of tanzania la sivyo tunaelekea kubaya sana!

--
Ipyana Lwinga

Email:    ipyanalwinga@gmail.com
Mob:     +255 757 065577
Skype:   ipyana.plwinga

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Kusirie E. Senkondo
Living for Christ
+255 754 476 854
+255 715 476 854

"NO RESPONSIBILITY WITHOUT ACCOUNTABILITY"

0 comments:

Post a Comment