Monday 31 December 2012

Re: [wanabidii] Matokea Sensa ya Taifa Tanzania tupo 44,929,002

Dear Kaka Jovias Mwesiga,
 
>Re: [wanabidii] Matokea Sensa ya Taifa Tanzania tupo 44,929,002
Doooooooooooooooo!!!
Hizi ndio hangovers za sherehe za mwaka mpya.
Nilikusudia hii msg kukuletea wewe tu, lakini ndio hivyo tena!
Anyway, nishairejesha kwenye mstari!
Kila la kheri / Said

From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, December 31, 2012 11:47:50 AM
Subject: Re: [wanabidii] Kaka Mwesiga!!!

Mkuu Issa umebadili kichwa cha habari tutapoteza mada. African black TV iko straight hiyo mkuu. Kwa mnaozunguka zunguka tanzania mtakubaliana na mie sehemu kama kigoma hawana umeme na ni kawaida kukuta mama alizaa watoto 15, maeneo ya kabila la wairaque sijui kama nimepatia vizuri jina hili ni kawaida kukuta mama alishabeba mimba 9 labda watoto 2-3 kwanini vile wanapoteza sana mimba na watoto wakati wa kujifungua hili ni tatizo wahusika wangefuatilia hili labda.

Kule Pemba ni kawaida kukuta mama ana watoto 14 wote hai na niliogopa nilipofika kwa mkojani katoto kana miaka 12 kalikuwa kamejifungua nikaambiwa mama yake mwenye alimzaa anamiaka 14 kwa haraka haraka ni african black tv hii.

Hivi watu wanaingia kulala saa 12 jioni, shuguli za uzalishaji wa mtanzania tunazifahamu ni zero, recreational zero kifuatacho ITV??? Ukirudi mijini tokana na umasikini na watoto kuanza majukumua ya kutunza familia wakiwa wadogo unakuta mwanamke wa miaka 21 tayari ana watoto 4 ambao kawazaa almost kila mwaka na baba tofauti mnao kaa mijini mtakubaliana nami na halii hiii nimeikuta na marekani vile vile kwa jamii ya watu weusi na spanish ambao wengi wao hawana kazi na wamegubikwa umasikini.

Jamaa wengine watajitete kuwa vijijini wanzaa sana vile wanachakula lolol then African tv bado ipooooooooo.

Kwa serikali nafikiri sasa haii hiii inatakiwa iangaliwe kwa haraka kama nchi haizalishi wananci watazaa zaidi

On Mon, Dec 31, 2012 at 9:18 AM, Said Issa <saidissa100@yahoo.com> wrote:
Jamani hio African Black TV ni nini?
Naona vibaya hata kukuuliza ukumbini!
Rgds / Said.

From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, December 31, 2012 11:08:22 AM
Subject: Re: [wanabidii] Matokea Sensa ya Taifa Tanzania tupo 44,929,002

HAHAHA tatizo la kuzaliana haliwezi kuisha wakati watu kila siku hawana umeme hivyo wanaangalia African black tv if u know what am talkin about lol Heri ya mwaka mpya kwetu wote

On Mon, Dec 31, 2012 at 9:05 AM, KULWA MAGWA <magwakulwa12@gmail.com> wrote:
kwa maana nyingie kwa kazi ua kuzaliana tuliyonayo kwa sasa mpaka mwezi Februari mwakani tunaweza kuwa milioni 45! sensa ijayo itakuwa na watanzania milioni 70 hivi, inabidi tupunguze kuzaana jamani maana ongezeko la changamoto na kuzaana huku ni ni balaa nyingine katika taifa letu

On Mon, Dec 31, 2012 at 12:33 PM, Barnabas <drbmbogo@gmail.com> wrote:
safi hii

tunaelekea pazuri

On 31 December 2012 10:59, Hermengild Mayunga <drmayunga@gmail.com> wrote:
Rais ametangaza kwamba kwa Sensa ya mwaka huu tupo watanzania 44,929,002

tbc source

--
drmayunga@ores.or.tz
admin@ores.or.tz
info@ores.or.tz
http://www.ores.or.tz/
www.twitter.com/drmayunga
Tel +255 784 520680
Tel +255 25 2600419
Fax +255 25 2600352

--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Barnabas
 "tunajua mnalindana, na kulindana huko sio bure..Mh Deo Filikunjombe, April 2012"

Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment