Monday 31 December 2012

Re: [wanabidii] Watanzania tupo 44,929,002 - Mtazamo wangu


Comrade Lwinga;
Mi nazani raslimali tulizonazo zinatosha sana ku-support that 2016 population number,issue ni Teknolojia na matumizi binafsi ya raslimali hizi.Kma nchi bado tupo na hali nzuri na hatuchachelewa kutumia kilichobaki kwa manufaa ya wote,raslimali zingine hazijaanza hata kutumika (gas) lakini watu wameshakuwa bilioneas!
Reuben


From: Ipyana Lwinga <ipyanalwinga@gmail.com>
To: mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Sunday, December 30, 2012 9:17 PM
Subject: [wanabidii] Watanzania tupo 44,929,002 - Mtazamo wangu

Watanzania sasa tupo 44,929,002
mwaka 2002 tulikuwa 34.4million
Mwaka 1967 tulikuwa 12,313,054

Tanzania bara, 43,625,434
Zanzibar 1,303,568

Growth rate sasa ni 2.6% ukilinganisha na 2.9% ya mwaka 2002

2016 Projected Population ni 51mil

Kwa mtazamo wa kawaida hii ni idadi kubwa sana ukiringanisha na
rasilimali tulizonazo, Tanzania need to have a more serious Policies
to reduce Growth rate of tanzania la sivyo tunaelekea kubaya sana!

--
Ipyana Lwinga

Email:    ipyanalwinga@gmail.com
Mob:    +255 757 065577
Skype:  ipyana.plwinga

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment