Tuesday 4 December 2012

Re: [wanabidii] Re: TAMKO LA WAISLAMU : KUHUSU KUJIUNGA NA OIC NA KUREJESHWA KWA MAHAKAMA ZA KADHI

Kuna ubaya gani kama wana mahakama ya kadhi wanalipia wao wenyewe kwa michango yao msikitini? Wanajiunga wao na chama cha dini yao mfano Bakwata inaingia OIC badala ya nchi. Kama vile Walutheri wanavyojiunga na World Lutheran Federation na Wakristu wakatoliki na Vatican. Wahindi nao wana vyama vyao, Bohora, Walokole akina Kakobe-wanasafiri kwenda mikutano yao, wanajigharimia, wanafungisha ndoa, kusimamia talaka au kesi mbali mbali kila dhehebu bila ya kuomba msaada GVT. Mfumo wa mahakama upo ktk kila dhehebu. Waumini wanaamua hukumu au kesi yake aende  kwa kadhi au aende mahakama ya GVT. Ikiwa kuanzishwe mahakama ya kadhi kwa gharama za walipa kodi wote-itakuwa makosa na vurugu. Madhehebu mengine yote yataomba nao wapatiwe hela za mahakama zao. Tutakuwa na vurugu. Dhehebu lipewe uhuru wa kuanzisha shule, mahospitali, uwekezaji kwa raha na resources zao. Serikali ni kutambua tu kuwa dhehebu lipo; kuwapa na vyeti vya ndoa vya GVT kuvitumia wakitaka hawataki basi; kutambua huduma zao mfano hospitali pale zipo na kuchangia kama GVt haiwezi kujenga ya namna hiyo hapo-inachangia health kit, baadhi ya wauguzi na madaktari (Mfano zahanati, vituo vya afya na hospitali kuu kama KCMC, Hindu Mandal, Aga Khan) zinavyotambuliwa na GVT kuchangia.Kadhi-Kumtambua tu na kuweza kupokea kesi za Rufaa kama itashindikana huko na wataamua kupeleka mahakama ya GVT. Zaidi ya hayo-muache Muislamu na taasisi yake aamue vyake bila kuvunja shetia na Muache Kardinary Pengo au Mzee wa Upako-Lusekelo aamue kesi zake na kugharimia shughuli zote za madhehebu yake. Tusiingizwe tusio husika likawa la Kitaifa. Gharimia mwenyewe Kadhi wako.

--- On Tue, 4/12/12, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] Re: TAMKO LA WAISLAMU : KUHUSU KUJIUNGA NA OIC NA KUREJESHWA KWA MAHAKAMA ZA KADHI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 4 December, 2012, 14:55

dada rehema,ni kweli suala la kadhi na oic ni ya waislam na mnayo hali ya kuisemea mambo yenu mkaelewana.Lakini,Tanzania ni yetu sote.Ndani ya mipaka ya dini,masuala haya hayana shida kabisa,lakini kinyume cha hapo ni shida kwelikweli.Masuala ya kadhi na oic tija yake ni kuachana nayo au la ni  kuyafanya mjadala usioisha.OIC kwa mkristo ni laana kamili,ambayo kinyume chake ni heri kufa kuliko kuishi ktk laana ya Mungu,kuna mwafaka hapo?Ngupula

------------------------------
On Tue, Dec 4, 2012 08:03 EET Peter Lwegasira wrote:

>Ndugu yangu Chamani kumbe upo? Hapana. Nadhani jina lako ni Walewale.
>
>Leo naona unaongea maneno yenye hekima. Nitakuunga mkono kwa hili.
>
>
>
>
>________________________________
> From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>Sent: Tuesday, December 4, 2012 8:51 AM
>Subject: Re: [wanabidii] Re: TAMKO LA WAISLAMU : KUHUSU KUJIUNGA NA OIC NA KUREJESHWA KWA MAHAKAMA ZA KADHI
>
>
>Ndugu,
>Haya nayo mnayatoa wapi humu jamvini jamani?
>
>
>
>
>Walewale.
>
>
>
>
>________________________________
> From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>Sent: Monday, December 3, 2012 4:00 PM
>Subject: Re: [wanabidii] Re: TAMKO LA WAISLAMU : KUHUSU KUJIUNGA NA OIC NA KUREJESHWA KWA MAHAKAMA ZA KADHI
>
>
>Wenye haki wakitawala watu hufurahi lakini waovu wakitawala,huzuni hutawala kwa maana Mungu huiacha nchi. Nina imani Mungu hawezi kuiacha Tanzania ipotee na historia yake.Mtu mmoja katika nchi aombaye kwa imani atosha sana mbele kwa Mungu  kufanya jambo...Godfrey Ngupula
>
>
>
>
>________________________________
> From: Wilson Gwoma <gwomason@yahoo.co.uk>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Monday, 3 December 2012, 8:21
>Subject: Re: [wanabidii] Re: TAMKO LA WAISLAMU : KUHUSU KUJIUNGA NA OIC NA KUREJESHWA KWA MAHAKAMA ZA KADHI
>
>
>KAFIRI NI WEWE NA WENYE MAWAZO KAMA YAKO, ALIYEKWAMBIA HUKO ULIKO NDIYO KUNA MAJIBU SAHIHI? AKHERI MIMI NINACHO KIAMINI KWA KUWA YESU ALIFUFUKA NA YUKO HAI, WEWE ALIYEKUPA MAJIBU ULIYONANYO NI NANI? KAMA SIO SHETANI ANA OPERATE KWENYE KICHWA CHAKO? TULIA ,JIAKASE KWA MAANA HUJUI UENDAKO NDIYO MAANA UNAPAYUKA TU, SHETANI ASHINDWE KATIKA JINA LA YESU, MTUME PEKEE ALIYE HAI NA BWANA NA MWOKOZI WA DUNIA HII, AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
>
>--- On Sat, 1/12/12, yassinsanga@gmail.com <yassinsanga@gmail.com> wrote:
>
>
>>From: yassinsanga@gmail.com <yassinsanga@gmail.com>
>>Subject: [wanabidii] Re: TAMKO LA WAISLAMU : KUHUSU KUJIUNGA NA OIC NA KUREJESHWA KWA MAHAKAMA ZA KADHI
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Date: Saturday, 1 December, 2012, 20:33
>>
>>
>>DAWA YA KAFIRI NI AK47 TU!!!!
>>
>>--
>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>>CALL : 0786 806028
>>Free Delivery in Dar es salaam
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

>DELL LATITUDE D 620 & D30

>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

>CALL : 0786 806028
>Free Delivery in Dar es salaam

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment