Saturday 29 December 2012

Re: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM

Huyu bwana nilipomsoma mara ya kwanza nilikasirika sana kama wengi wetu humu jukwaani. Lakini nafikiri ifikie mahala sasa tubadilike kidogo kwenye approach zetu inapotokea mtu akifanya kitu ambacho hakitufurahishi au tofauti na matamanio ya wengi wetu kwenye jukwaa hili la wasomi. 

Tunamuhitaji kila mtanzania ni muda wetu mzuri kugawa dozi sahiii ya kusafisha mambo ya mtu kama huyu. Imekuwa bahati kajitokeza hadharani na hatujui wangapi wanamtazamo kama wake na walisubiri kuona labda jukwaa hili na majukwaa mengine ya kijamiii yatasemaje? Hawa wengi niliowataja hajui kiundani kinachoendelea nyumbani na wala tusiwashangae kama tu walio nyumbani hawaelewi itakuwa walio nje ya nchi?

Ifike mahala tupige hatua zaidi bila kuchimba kama huyu ni masikini ooh njaa kali. Labda kweli ni masikini ni nini cha kushangaza nchi yake yenyewe masikini na kama ana njaa ok mlishe ubongo wake sio yeye tu mtumie yeye kulisha wengine. Mabadiliko hayalengi mtu mmoja kama neno lenyewe liko sahihi.

Nikiangalia nguvu iliyotumika kumshambulia huyu bwana na nikajiuliza wapenda mema wa nchii wengine waliopembeni wanausomaje ujumbe huu nikajiona tunahesabika genge la wahuni wanaopenda kusikilizwa mawazo yao na wasiopenda kuelezwa tofauti. 

Kama navyopenda kusema nitakubali atakaekuwa na mawazo tofauti nami kwani ndio njia ya kutafuta kunyoosha mambo kufikia tunakoelekea



On Sat, Dec 29, 2012 at 4:05 AM, Fred Hans Kipamila <fhkipamila@yahoo.com> wrote:
kama kweli yupo ulaya huyu bwana maisha yamemkoromea huko amesikia ukiwa ndani ya ccm unatajirika haraka ndicho kinachomsukuma kuandika hayo aliyoyaandika. kwa 85% huyu bwana yupo bongo

--- On Fri, 12/21/12, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

> From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, December 21, 2012, 3:30 AM
> Ndugu zangu,
> Msihangaike na watu wa namna hii jamani, kama anaamini
> maendeleo ni
> barabara am sure hata magari ataamini ni maendeleo!!
> Angeliwepo karibu
> lau tungemwuliza indiators za maendeleo ni zepi kwa mtizamo
> wake yeye?
> ajuavyo..
> Mwaheni apite ende zake!
>
> --
> *"Anyone who conducts an argument by appealing to
> authority is not using
> his intelligence; he is just using his memory." Leonardo
> daa Vinci
> *
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.



--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment