Monday 1 October 2012

[wanabidii] re:swali langu,je??

Nilipokuwa nikihudhuria ktk kituo cha kutolea maoni ya kuhusu katiba mpya,nilihabarika kuwa muundo wa bungu litakaloitwa bunge la katiba litacomprise wabunge wote wa bunge la jamhuri,wabunge wote wa baraza la wawakilishi na wajumbe wengine wenye idadi ya 156 kutoka vyama vya siasa na asasi za kijamii.Na jumla ya wabunge wa bunge la katiba watakuwa 600.Swali langu ni hili,hao wabunge kutoka baraza la wawakilishi watajumuika tu na wenzao wakati wa kujadili mambo yahusuyo muungano au watatusaidia kujadili mambo yote hata yasiyo ya muungano?na kama hivyo ndivyo.je hiyo ni haki?Godfrey Ngupula

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment