Wednesday 3 October 2012

[wanabidii] Mstaafu atapeliwa Mil 20 Tegeta

Kuna mama mmoja mstaafu ametapeliwa mil 20 alizokua ametoa benki kwa
ajili ya ujenzi wa nyumba yake .

ILIVYOTOKEA

Mama ameingia benki akakutana na mdada mmoja amesimama pembeni kama
mteja , ghafla huyu dada akamwambia Yule kwamba kuna watu wanauza
dhahabu nay eye ana milioni 10 hapo alipo wachange wanunue hayo
madini .

Yule mama akaingia mkenge akamwamini Yule dada wakakubaliana kwenda
makumbusho kwa mchungaji wao kwa ajili ya kulipa na kupewa dhahabu .

Walipotoka nje gari likaja , Yule mama akaanza kupanda , Yule dada
akatokomea upande mwingine wa barabara na hela zote .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment