Monday 1 October 2012

Re: [wanabidii] Sumaye ashindwa uchaguzi CCM, Alazimika kuondoka ukumbini kimya kimya bila kuaga - Mwanzo

Safi sana, inatosha. 
 
Omary Iddy,D
AGROFORESTRY RESEARCH
TANZANIA FORESTY RESEARCH INSTITUTE(TAFORI)
P.O BOX 1257,SHINYANGA
TANZANIA.
Tel:+255 28 276 3249
MOBILE:+255 713 728 672
FAX:+255 28 276 2198
EMAIL:eidomari@yahoo.com

----- Original Message -----
From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc:
Sent: Monday, October 1, 2012 12:49 PM
Subject: Re: [wanabidii] Sumaye ashindwa uchaguzi CCM, Alazimika kuondoka ukumbini kimya kimya bila kuaga - Mwanzo

Kwani hizi nafasi hazina kikomo? unakuwa NEC miaka nenda rudi halafu
bado watu hawaridhiki?

2012/10/1 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>:
> AMINI usiamini, Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amepigwa mweleka.
> Sumaye amepigwa mweleka katika uchaguzi wa kuwania nafasi ya Mjumbe wa
> Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), kupitia Wilaya ya Hanang, Mkoa wa Manyara.
> Aliyeibuka mshindi katika nafasi hiyo ni Mbunge wa Hanang ambaye pia ni
> Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu,
> aliyekuwa akipambana na Sumaye.
> http://wotepamoja.com/archives/7773#.UGlK1E4XWsc.gmail
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


0 comments:

Post a Comment