Monday 15 October 2012

Re: [wanabidii] POMBE MARUFUKU ZANZIBAR..............

Kaka Matinyi,
For the first time umeweza kutufahamu vizuri Wazanzibari!
Kwa hilo ahsante!
Kila la kheri.

...bin Issa.


From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, October 15, 2012 4:56:12 PM
Subject: RE: [wanabidii] POMBE MARUFUKU ZANZIBAR..............

Nilivyoelewa:
1. Ukabaha marufuku - jambo ambalo ni sahihi kabisa (na ushoga pia).
2. Matangazo ya biashara (advertisidements) ya pombe marufuku - siyo pombe.
3. Uvutaji sigara kwenye hadhara/umati ni marufuku - unaweza kuvuta chumbani mwako.
 
Hakuna haja ya kupindisha hata kama mtu hukubaliani na hatua hizi.
 
Matinyi.
 

Date: Mon, 15 Oct 2012 23:51:50 +0300
Subject: Re: [wanabidii] POMBE MARUFUKU ZANZIBAR..............
From: bmwasaga@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Ila mgawo wa fedha/mapato yanayotokana na kodi za vileo na sigara wanayataka kwa kasi kubwa, sasa sijajua kwanini kuna hii marufuku.....

2012/10/15 Said Issa <saidissa100@yahoo.com>

POMBE, SIGARA NA UKAHABA NI MARUFUKU ZANZIBAR


                                               http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/10/pombe-marufuku-zanzibar_15.html 

-

0 comments:

Post a Comment