Tuesday 16 October 2012

Re: [wanabidii] POMBE MARUFUKU ZANZIBAR..............

Sioni ubaya wa kuwepo sheria kama hiyo, hata sigara mwanzo watu waliona usumbufu lakini leo hii kila mmoja anaifurahia sheria ya kuvuta sigara mbele za watu wengine.

Hatua tuliyofikia ya unywaji pombe sio nzuri, watu wanaanza asubuhi hadi usiku wa manane, kazi wanafanya saa ngapi, watoto wamejiingiza kwenye ulevi wa kupindukia, na yote haya yanachangiwa na matangazo.

Felix

2012/10/16 lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
Akiwa cdm akiwa ccm, waambie wanapaswa kutengeneza sheria kwa ajili ya watu wa jiji la mwanza.
Linda watoto wakati wote bila kukoma.

--- On Tue, 10/16/12, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] POMBE MARUFUKU ZANZIBAR..............
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, October 16, 2012, 4:46 AM

Haule, tatizo halmashauri yetu ya jiji inaongozwa na CDM mbaya zaidi hao madiwani hawaelewani wao kwa wao, tena baadhi yao wanamiliki hivyo vijiwe.

2012/10/16 lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
Sheria za jiji lenu zinasema nini, nawe umeweza kumwambia nini kiongozi uliyemchagua akakutungie sheria?

--- On Tue, 10/16/12, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>

Subject: Re: [wanabidii] POMBE MARUFUKU ZANZIBAR..............
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, October 16, 2012, 2:19 AM

Huku Mwanza nimekutana na promotion ya pombe aina ya Faru Lager sijui inatengenezwa na kiwanda gani! lakini kinachofanyika ni kukusanya vijana wengi na kuwaweka baa na kuwapa kinywaji hicho wakaendelea kunywa kidogokidogo, ukifika pale unakuta watu wengi wakinywa hivyo nawewe unashawishika kunywa! nasikia baada ya zoezi hilo vijana hupewa elfu kumi kama posho. Pia wamekuwa wakifanya roadside promotion kwa kujenga jukwaa kandokando mwa barabara na kuporomosha mziki hivyo wasichana na wavulana wanaanza kushindana kukata viuno! anayenogesha hupewa ofa ya pombe na zawadi ndogondogo kama kofia na fulana. Maranyingi hii shughuli ipo pale Mkuyuni karibu na kituo cha mafuta cha camel majira ya saa jioni. Sidhani kama ni sahihi kwa watu kufungulia mziki kandokando mwa barabara na kuanda kushindanisha mabinti na vijana kunengua ili wapate ofa ya pombe au fulana.
2012/10/16 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
I bet ndiyo mambo yataongezeka hata kama yametamkwaaa

2012/10/16 lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
Sigara hata mimi inanikera sana  na hunipa mafua na mchafuko wa utulivu. Nawakasirikia sana wanaovuta mbele yangu, lakini wakijivutia mbali sina habari nao. Ila pombe, mhiiii, inahitaji tuangalie kwa kina.
Huwezi zuia biashara ya pombe wala ukahaba. Hizi ni biashara kongwe sana, pia ni kwasababu tumebadili au hatujajifunza matumizi yake sahihi.
Natamani pombe iendelee kuwepo na ukahaba uwepo kwa heshima yake.

--- On Mon, 10/15/12, Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com> wrote:

From: Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>

Subject: Re: [wanabidii] POMBE MARUFUKU ZANZIBAR..............
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, October 15, 2012, 11:25 PM

Hatua hizi murua kabisa!!

Pombe na sigara ni kaka na dada; matangazo mengi hulenga vijana, ambao hujikuta wamedumbukia kwenye utegemezi bila kujua. Wakisha kuwa tegemezi wanabaki wateja wa kudumu wa makampuni ya pombe na sigara hadi magonjwa/vifo vitakapowakumba!! 

Unywaji wa kistaarabu wa pombe kwa watu wazima hauna neno; ila uvutaji wa sigara ni kifo kwa umri wowote na kiwango chochote; hivyo unaweza kuvuta chumbani kwako lakini kumbuka, wale unaowavutisha pia unawatia hatarini kuathirika na moshi wa sigara yako. Kumbuka, "there is no safe level to tobacco use"  

Hongera Zanzibar.
 
Lutgard Kokulinda Kagaruki
Executive Director
Tanzania Tobacco Control Forum
P. O. Box 33105
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: Off. +255 732 924088
Tel: Mob. +255 754 284528
Fax: +255 22 2771680

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, October 15, 2012 11:56 PM
Subject: RE: [wanabidii] POMBE MARUFUKU ZANZIBAR..............

Nilivyoelewa:
1. Ukabaha marufuku - jambo ambalo ni sahihi kabisa (na ushoga pia).
2. Matangazo ya biashara (advertisidements) ya pombe marufuku - siyo pombe.
3. Uvutaji sigara kwenye hadhara/umati ni marufuku - unaweza kuvuta chumbani mwako.
 
Hakuna haja ya kupindisha hata kama mtu hukubaliani na hatua hizi.
 
Matinyi.
 
Date: Mon, 15 Oct 2012 23:51:50 +0300
Subject: Re: [wanabidii] POMBE MARUFUKU ZANZIBAR..............
From: bmwasaga@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Ila mgawo wa fedha/mapato yanayotokana na kodi za vileo na sigara wanayataka kwa kasi kubwa, sasa sijajua kwanini kuna hii marufuku.....

2012/10/15 Said Issa <saidissa100@yahoo.com>

POMBE, SIGARA NA UKAHABA NI MARUFUKU ZANZIBAR

                                               http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/10/pombe-marufuku-zanzibar_15.html 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment