Tuesday 16 October 2012

Re: [wanabidii] Mwandishi wa Malawi aliyempakazia balozi wa Tanzania akamatwa

Neville,

Ufafanuzi wa kina, na nyongeza ya hapo, pia Peter alipokonywa kitumbua mdomoni, kwani akisubiri Jaji Mkuu amuapishe kinyemela, jamaa akawasili akiwa hana vazi rasmi la ujaji, hivyo kuvuta muda uliosaidia jamaa kutokama uamiri jeshi na ndipo JB akapenyea hapo hapo kukamata nchi!!!

Tukielekea 2014, uchaguzi mkuu Malawi mengi yatajitokeza katika siasa za nchi hiyo.

Felix

2012/10/16 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Neville umefafanua vizuri asiyetaka kuelewa kwa kweli tutamtafuta mwalimu wake wa shule ya msingi

2012/10/16 <nevilletz@gmail.com>

DPP ni chama alichokuwa akiongoza Bingu wa Mutharika (Marehemu), chama ambacho kilimfukuza uanachama JB.

Hivi sasa kinaongozwa na Peter Mutharika ambaye ni mdogo wa marehemu Bingu. Huyu Peter ndiye alikuwa akiandaliwa na kaka yake kuchukua nchi. Katika ugomvi huo, ndipo JB akafukuzwa uanachama DPP.

Sasa wakati Bingu alipokufa Peter alikuwa Foreign Minister lakini JB akamng'oa katika uteuzi wa cabinet mpya. Kwa historia hiyo, hawa ni maadui wa kufa mtu! Iwe iwavyo, Peter na Joyce hawawezi kuwa washirika kwa lolote!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Date: Tue, 16 Oct 2012 00:44:55 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] Mwandishi wa Malawi aliyempakazia balozi wa Tanzania akamatwa

Niliwahi kusoma humu kuwa Joyce Banda alipotoka kuongea na Kikwete maputo aliwaita viongozi wa vyama vya upinzani wakawa na msimamo wa pamoja kuhusu mgogoro wa mpaka na Tanzania. Imekuwaje sasa watende hivyo? Nauliza

--- On Tue, 10/16/12, nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com> wrote:

From: nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Mwandishi wa Malawi aliyempakazia balozi wa Tanzania akamatwa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, October 16, 2012, 12:15 AM

Huo mpango haukuwepo, someni sababu za ziada za huyo bwana kufikishwa mahakamani ndo mtajua ninachosema.

Huyo dogo anafanya kazi na Malawi Voice, mtandao unaomilikiwa na makada wa chama cha DPP ambacho ni washindani au wapinzani wa Rais wa Malawi JB. Sasa kazi ya hao jamaa ni kumweka pagumu huyo mwanamama kwa kuandika chochote hata kama ni cha kubuni.

Waliwahi kuandika kwamba JB amejiuzulu. Halafu katika masuala ya kidiplomasia, kabla ya kumfukuza Tsere, kwanza wangemrejesha nyumbani balozi wao hapa nchini. Kwa maana hiyo kama nilivyoandika hapa wiki jana, habari hiyo ilikuwa ya kupika!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Date: Tue, 16 Oct 2012 08:01:38 +0100 (BST)
Subject: Re: [wanabidii] Mwandishi wa Malawi aliyempakazia balozi wa Tanzania akamatwa

Matinyi,
Pamoja na habari hii, nadhani bado haiondoi ukweli kwamba huenda hawa jamaa walikuwa na mpango huo lakini ulikwenda hewani mapema. Siwaamini watu hawa ni vizuri tahadhali ikaendelea kuchukuliwa tu. Ni watata hawa ndugu zetu.
 
K.E.M.S.

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: Mabadiliko <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, 15 October 2012, 14:24
Subject: [wanabidii] Mwandishi wa Malawi aliyempakazia balozi wa Tanzania akamatwa

Malawi journalist arrested over Tanzania envoy report
Tuesday October 16, 2012, DAILY NATION, KENYA.
Malawi journalist Justice Mponda has been charged in court for publishing false reports.
Mr Mponda was arrested Monday morning, for among others, reporting that Tanzanian High Commissioner to Malawi Patrick Tsere had been declared persona non grata and ordered to leave Malawi within 48 hours.
He was picked up in the wee hours by heavily armed police officers in an armoured vehicle at his Chiwembe residence in Blantyre.
He was taken to Blantyre police station for questioning before being charged in court.
Mr Mponda's articles, according to the Malawi online news website Nyasa Times, stemmed from a fake Facebook account of the President, which he is linked to have been using.
One of them, Nyasa Times reported, ''alleged that the Tanzanian diplomat was declared persona non grata and has been required to leave the country following an interview on a local radio, Zodiak''.
End
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment