Monday 15 October 2012

Re: [wanabidii] Mukama Aitolea Uvivu CHADEMA, Asema Inakabiliwa na Ukame wa Viongozi Waliopikika Kimaadili - Mwanzo

Hawawezi kuongea pasipo kuitaja CHADEMA,wakilala CHADEMA,wakiamka
CHADEMA,kweli CHADEMA imewashika pabaya

On 10/15/12, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
> Na pia inaonyesha jinsi walivyokuwa obsessed na Chadema.
> Wasipoitaja Chadema ni kama hawajafanya lolote la maana.
>
> 2012/10/15 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>
>> Ujumbe wa Mukama unaweza kueleweka na kukubalika kwa watu wasioijua
>> Tanzania na matukio tunayokutana nayo.
>> CCM kuwakumbatia viongozi wahuni waliofichiwa madhambi ambao wanatajwa si
>> na CHADEMA peke yake bali na viongozi wa CCM hakuwezi kusafishwa na kauli
>> hii. Mazoea ya kuunda baraza la mawaziri kubwa kuwa na NEC kubwa
>> kunafanya
>> Mkama aone CHADEMA haina viongozi maana haina wanaoweza kuwa mawaziri
>> mia.
>> Huu ni msingi mwingine wa kukusudia kuhalalisha hujuma.
>>
>> --- On *Mon, 10/15/12, Magiri paul <kiganyi@gmail.com>* wrote:
>>
>>
>> From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>> Subject: [wanabidii] Mukama Aitolea Uvivu CHADEMA, Asema Inakabiliwa na
>> Ukame wa Viongozi Waliopikika Kimaadili - Mwanzo
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Monday, October 15, 2012, 9:12 AM
>>
>>
>> KATIBU Mkuu wa CCM, Wilson Mukama amesema Chadema hakiwezi kuwa chama
>> chenye tija na hatma njema kwa taifa kutokana na kulazimika kuokoteza
>> hata
>> wagombea wake kutokana na wanaoshindwa kwenye michujo au chaguzi ndani ya
>> CCM. Alisema, Chadema na vyama vingine vya upinzania hapa nchini,
>> vinazama
>> katika hali hiyo, kutokana na kutokuwa na tanuru imara linalowawezesha
>> kutoa viongozi waliopikika kimaadili, kama ilivyo ndani ya CCM. Amesema,
>> Chadema wanaposema, kwamba kwa CCM kutowafukuza au kuwanyima uongozi
>> baadhi
>> ya wana-CCM ni kuizika CCM, huko ni kulia kinyume kwamba kwa kutofanya
>> hivyo CCM imewakosesha watu ambao wangehamia kwao hivyo chama chao
>> kinakufa.
>> http://wotepamoja.com/archives/8792#.UHw15uZTcyI.gmail
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>


--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment