Tuesday 16 October 2012

Re: [wanabidii] Mukama Aitolea Uvivu CHADEMA, Asema Inakabiliwa na Ukame wa Viongozi Waliopikika Kimaadili - Mwanzo

Katiba ijayo ikiruhusu mgombea binafsi ndo Mukama atalia kilio cha kusaga meno. Wapo watanzania wengi wasiokuwa wanachama wa chama chochote lakini hwaridhiki na inachokifanya CCM na hovyo akijitokeza mtu wakamwamini wanampa urais. Sijui katika hilo Mukama anatwambia nini, issue si Chadema issu ni kwamba tumechoka na vitendo vya kifisadi, kibaguzi, kinyanyasaji na wizi

2012/10/16 lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
Umri kama ule, Kiroba na warembo waliochoka kwa vigeregere vye ukakasi unaropoka tu! Tumekusikia muhishiwa Mukama.

--- On Mon, 10/15/12, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:

From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>

Subject: Re: [wanabidii] Mukama Aitolea Uvivu CHADEMA, Asema Inakabiliwa na Ukame wa Viongozi Waliopikika Kimaadili - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, October 15, 2012, 10:34 PM

Wakuu,
Kama mmeisoma habari hadi mwisho Mukama alikuwa anazungumza akiwa kwenye night club pale Maisha Club Sasa anaposema wengine hawana maadili kwa sababu ya kumiliki vilabu yeye alikubalije kwenda kwenye club?

Magiri.
www.wotepamoja.com

Tarehe 16 Oktoba 2012 3:28 asubuhi, ludigo mhagama mhagama <lmhagama@yahoo.co.uk> aliandika:
Mkama atambue kuna vijana wengi nje wenye upeo kuliko yeye hapo ,pamoja na umri wake.Maadili gani anayoongea.Nakubaliana na kuwa chadema haina watu wezi kama walivyo wa kwao CCM.kwani wamepikwa ili waibe na wasiseme kitu kwa wananchi.Na kazi yao kubwa ni kuharibu uchumi wa nchi.CCM ya akina Mkama inaitwa RESOURCE DEPLETION PARTY[CCM].Wanauza wanyama nje[simba,twiga,chui nk].Tanzania inaingia shimoni ,tutakuwa kama somalia na ethiopia .Kwani nchi zao hazina resources.Nchi za falme za kiarabu zinakuja juu sasa kwenye sector ya utalii[zoos].Ni kwa sababu ya wenye akili ya uongozi wa akina MKAMA.Leo kuna wakenya wengi wanafanya kazi huku falme za kiarabu kwenye sector ya utalii.Sasa mkama ujue mtoto wako nae yupo njiani atakwenda kufanya kazi huko.Na hatajuta kwani baba yake ulikuwa umevaa miwani ya mbao.

--- On Mon, 15/10/12, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Mukama Aitolea Uvivu CHADEMA, Asema Inakabiliwa na Ukame wa Viongozi Waliopikika Kimaadili - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 15 October, 2012, 21:27

Na pia inaonyesha jinsi walivyokuwa obsessed na Chadema.
Wasipoitaja Chadema ni kama hawajafanya lolote la maana.

2012/10/15 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Ujumbe wa Mukama unaweza kueleweka na kukubalika kwa watu wasioijua Tanzania na matukio tunayokutana nayo.
CCM kuwakumbatia viongozi wahuni waliofichiwa madhambi ambao wanatajwa si na CHADEMA peke yake bali na viongozi wa CCM hakuwezi kusafishwa na kauli hii. Mazoea ya kuunda baraza la mawaziri kubwa kuwa na NEC kubwa kunafanya Mkama aone CHADEMA haina viongozi maana haina wanaoweza kuwa mawaziri mia. Huu ni msingi mwingine wa kukusudia kuhalalisha hujuma.

--- On Mon, 10/15/12, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:

From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Mukama Aitolea Uvivu CHADEMA, Asema Inakabiliwa na Ukame wa Viongozi Waliopikika Kimaadili - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, October 15, 2012, 9:12 AM

KATIBU Mkuu wa CCM, Wilson Mukama amesema Chadema hakiwezi kuwa chama chenye tija na hatma njema kwa taifa kutokana na kulazimika kuokoteza hata wagombea wake kutokana na wanaoshindwa kwenye michujo au chaguzi ndani ya CCM. Alisema, Chadema na vyama vingine vya upinzania hapa nchini, vinazama katika hali hiyo, kutokana na kutokuwa na tanuru imara linalowawezesha kutoa viongozi waliopikika kimaadili, kama ilivyo ndani ya CCM. Amesema, Chadema wanaposema, kwamba kwa CCM kutowafukuza au kuwanyima uongozi baadhi ya wana-CCM ni kuizika CCM, huko ni kulia kinyume kwamba kwa kutofanya hivyo CCM imewakosesha watu ambao wangehamia kwao hivyo chama chao kinakufa.
http://wotepamoja.com/archives/8792#.UHw15uZTcyI.gmail
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment